Yanga Mabingwa Lyrics

Wananchi tumejipata eeeh tumejipata
Hatukamatiki woooh
Hatukamatiki woooh
Wananchi tunawaweza eeeh tunawaweza
Hatuzuiliki oooh
Hatuzuiliki oooh
Na round hii
Wataupanda wakibwengo oooh oooh
Na round hii
Wakija na jino wanarudi na pengo ooh ooh
Kila anaepita mbele
Tunachinja tunatupilia mbali
Wenzako wanatujua wananchi tumepinda
Wanatupitia mbali halloooo
Sisi ndo yanga
Ale ale aleh
Sisi ndo mabingwaa
Ale ale aleh
Sisi ndo yanga
Ale ale aleh
Oya sisi ndo noma
Ale ale aleh
Si wameutaka ndio wameutaka
Si wameufata ndio wameufata
Tuna tuna tuna tunaupiga mpaka tomorrow
Hatuna dogo tunawafunga mpaka tomorrow
Kila anaepita mbele tunachinja tunatupilia mbali
Wenzako wanatujua wananchi tumepinda
Wanatupitia mbali halloooo
Sisi ndo yanga
Ale ale aleh
Sisi ndo mabingwaa
Ale ale aleh
Sisi ndo yanga
Ale ale aleh
Oya sisi ndo noma
Ale ale aleh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Yanga Mabingwa (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
MARIOO
Tanzania
Marioo is a Tanzanian singer/songwriter based in Dar Es Salam. His first single (Dar Kugumu), ...
YOU MAY ALSO LIKE