Ex Lyrics

Kwanza wacha nikushukuru
Umefanya nikajua mapenzi
Owowowowooo
Kwa mateso yako, kwa vituko vyako
Nikajifunza kujienzi
Mamama maa
Ila hali yangu sio mbaya
Natumai we ulipo uko salama
Uko salama na ulishapenda tena
Mmmh bado napambana
Napambana na hali yangu
Na sina sababu
Ni vila naiona dunia tamu
Mi bado napambana
Handsome napambana na hali yangu
Na sina sababu
Ni vila naiona dunia tamu
Natamani ata siku moja nikupigie
Ila moyo unakataaa
Natamani ata siku moja nikupigie
Siwezi pokea
Na miss vile vituko vyako
Kununa hata kwa makosa yako
Nakukumbuka sana
Natamani ata siku moja nikupigie
Ila moyo unakataaa
Natamani ata siku moja nikupigie
Siwezi pokea
Nikuache wacha nikuache
Nikuache wacha nikuache
Nikuache wacha nikuache
Nikuache wacha nikuache
Ulivyo huyo mume wako
Anakudekeza nilivyokuwa kwako
Na ukinuna anakumbembeleza
Ama anakuvuruga yee
Wanasema hata ng'ombe maskini huzaa
Siku hizi nimeongeza ujanja wa mitaa
Na leo wapi anavuta huidai mmmh
Ujuzi kitandani nimeongeza sana
Hela nimepiga siko shida tena
Na leo wapi navuta huidai iyee
Na miss vile vituko vyako
Kununa hata kwa makosa yako
Nakukumbuka sana
Natamani ata siku moja nikupigie
Ila moyo unakataaa
Natamani ata siku moja nikupigie
Siwezi pokea
Nikuache wacha nikuache
Nikuache wacha nikuache
Nikuache wacha nikuache
Nikuache wacha nikuache
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ex (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE