Home Search Countries Albums

Nimerudi Tena

SSARU

Nimerudi Tena Lyrics(Ricco Beatz Mr 808)

Nimerudi tena usiseme nimekuja mapema
Ju venye nahema si mnajua kitu nimepewa
Naskia mnasema ati SSaru anapenda kupewa
Ka we ni wa JUja ukipewa lazima utapenya

Alafu nacheki supporti inakuja kwa wingi
Thank you bana
Madem kibao mamorio wamembao
Nataka hii kitu sana

Na venye nacheki tukiendelea hivi
Nitasema Yes Bana, Yes bana
Morio leta biringanya bana
Nilikuwa nwashow hizi ni mistari
Me sipendi hii kitu sana

Nikacheki nitaboo, nita dissapoint
Mamorio wanapenda vagina
Ako wapi Zzero utufanyie collabo
Moja enye itawachanganya
Akam na mandom tuchafue flow
Tukiwa mamoshi bana

Moto sana
Utadhani ndani kuna burnsen burner
Nawanga mchana 
Usiku nakesha Nikichoma mashada 
Ogopa bana
Ju mi ukinidiss tunakosana
Mi ni mtoto sana 
Utaenda Kamiti ukishikwa na bang'a

Me najidai 
Stakabathi nimebeba Utadhani ni ndae 
Na niko fly
Me sina deni lakini bado unanidai mmh

Unanidai unataka ngwai
Utaka zenye pedi ameniwai
Venye uko high na uko na ndae
Kazi nikuuliza mbona ni why

Nilisahau Hamisi 
Ile design ulisahau kamisi
Kwanza jo nimekumisi
Kwanza ile wakati unashika matiti

We ndo unapeananga kissing
Mi huwa napendaga miti
Siku hizi ulichorea kiki
Uliacha kuseti kamenje kwa kiti

Kaza kitu ni fitting
Chapa ni kama utalipwa majiti mmh
Father mi ndio kipii
Sa finya finya ni ka parachichi aaah

Ka parachichi iko na kijiti
Venye inahang jo haijifichi
Na mi ni vajo staki ubishi
Ka ulinikula ulikulanga missing

Leo nimedunga G String
Nimejilete nataka unidishi
Ah nyama kwa nyama spiki
Hii ndio ile nyama unakulanga mbichi

Clever ni kama hailiki 
Ka ni kisima jo si tuko fishing
Hii nyama kama hailiki
Mwenye anakula ni kama ni richkid

Ssaru mbogi ni KANU
Mi ndio nakujanga kuleta hamu
Daily nakujaga na mautamu
Ni za ki Coasto kutoka Lamu

Verse ni ngori shinda mbogi genje
Bars nachana utadhani ni veve
Makali inashinda ya wembe
Ju mi nalima hata kuliko jembe

Mi nawashika na sinanga wende
Ju mi ni OG nyi ni maembe ah
Chura bishana na mende
Hapo unahang kama makende

Legendary mi ndio legend
Ka hakakupei wacha kaende
Ssaru anakuwanga na utamu ya tende
Mi staki pizza nijenge tu sembe aah

Siku hizi nimemea pembe
Nilizaliwa ka sinaga nyege
Katambe wacha kaende
Kalambe ka peremende

Ka ni marapper mi ndio mkali hapa
Mi na-represent  Khali ka ako hapa
Ju nachana faster ka Semenye Castor
Eeey eey eey

Harambe mbogi ni genje
Ka unanipenda nikembe
Nikaze nikameze tembe
Kichwa ni kama malenge

Mi nakutolea form 
Uko na mzinga leta tu ndom
Mi nakupeleka bro huwezani 
Ju rende ni rong 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Nimerudi Tena (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SSARU

Kenya

Sylvia Ssaru (born on 19th May 2002) aka 'Saru wa Manyaru' is s a Singer, Song writer, ...

YOU MAY ALSO LIKE