Ngoja Lyrics

Ipo siku yako yaja Bwana atakukumbuka huenda basi umengoja sana atakukumbuka
Ipo siku yako yaja Bwana atakukumbuka huenda basi umengoja sana atakukumbuka
Ngojaa aaah Ngoja aaah ngojaa aaah atakukumbuka
Ngojaa aaah Ngoja aaah ngojaa aaah atakukumbuka
Huenda mama umengoja mtoto zaidi ya miaka mitano ona bado hujapata mtoto (atakukumbuka)
Mwanafunzi umesomaaa hadi chuo kikuu onaa bado hujapata kazi (atakukumbuka)
Ona miaka zinazidi songaa haujapata mchumba usilie usinung'unike (atakukumbuka)
Ngojaa aaah, Ngojaa aaah, Ngojaa aaah atakukumbuka
Ipo siku yako yaja Bwana atakukumbuka huenda basi umengoja sana atakukumbuka
Ipo siku yako yaja Bwana atakukumbuka huenda basi umengoja sana atakukumbuka
Ngojaa aaah, Ngojaa aaah, Ngojaa aaah
atakukumbuka ngojaa aaah, atakukumbuka ngojaa aaah atakukumbuka
Huenda majibu yakachelewa usione amekusahau..
kumbuka MUNGU anajibu kwa wakati wake eeeh
Huenda ukaona amekusahau aaah MUNGU hawezi kusahau uuu naaaa wanadamu watakusahau usife moyo wanadamu wakikudharau
Ewe hope moyo omba MUNGU atakujibu tena kwa wakati wake ehh ewe ngojaa
Ngojaa aaah, Ngojaa aaah, Ngojaa aaah
atakukumbuka Ngoja, atakukumbuka Ngoja,
atakukumbuka Ngoja aaah atakukumbuka
Ipo siku yako yaja Bwana atakukumbuka..
huenda basi umengoja sana atakukumbuka,
huenda basi umengoja sana atakukumbuka
huenda basi umengoja sana atakukumbuka
Ngojaa aaah, Ngojaa aaah, Ngojaa aaah
Atakukumbuka ngojaa aaah
Atakukumbuka ngojaa aaah
Atakukumbuka ngojaa aaah atakukumbuka
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Ngoja (Single)
Added By : Josh lupao
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE