Tamu Walahi Lyrics
Eeh eeh eeh eeh eeh eeh eeh eeh
Eeh eeh eeh eeh eeh eeh eeh
Katoto hodari, akikata hodari, kiuno hodari, akipanda hodari
Full shangwe anajiachia
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Muondoka wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi
Na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi
Eti baby anapenda, anapenda njaro za kipole pole
Yaani mwendo wa kobe, kobe kobe kobe
Kasheri kanapendaga tu mayai na tu soseji
Alafu mwendo wa kobe kobe kobe kobe.
Anafanya, namwaga jasho sho sho
Natokwa na pepo popo shoti kama ya Ronaldo dodo iiih
Ngozi ilivo nyooka, malaika my darling
(Lala lala lala lala lala lala lala lala lala)
Unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe, eti pepe, naskia tu pepe
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady
Tamu walahi tamu walahi mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady
Tamu walahi tamu walahi mama tamu walahi
Muondoka wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi
Na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi
Mtoto anataka tucheze tu baibuda maimuna hataki pressure, ooh my lover
Ooh baby ukiniguza wanitia haya
Na unavokata chumbani mama unani maliza
Aaih mama, mama, wanimada mama
Wanimaliza mama, mmmh mama
Wanaokudharau, wana roho mbaya
Itabidi wafunge virago warudi waliko toka
Shindwe pepo mbaya
Unavonipa kwa bedi my darling naskia tu pepe
Eti pepe, naskia tu pepe
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Ulivo fundi nyumbani kwa bedi my lady tamu walahi
Tamu walahi mama tamu walahi
Muondoka wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi
Na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi
Muondoka wako tamu walahi
Ukiniguza tamu walahi
Na tukicheza tamu walahi tamu walahi tamu walahi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Tamu Walahi (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
WILLY PAUL
Kenya
Born on September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...
YOU MAY ALSO LIKE