Home Search Countries Albums

Pombe

MADEE Feat. RAYVANNY

Pombe Lyrics


Hatuendi shambani, haturudi nyumbani
Hata paje nani mpaka tumalize pombe
Hatuendi nyumbani (Yelele) haturudi shambani (Yelele) 
Hata paje nani mpaka tumalize pombe

Aiyeye, pombe
Aiyeye, pombe 
Aiyeye, pombe
Mpaka tumalize pombe

Aiyeye, pombe
Aiyeye, pombe 
Aiyeye, pombe
Mpaka tumalize pombe

Kunywa kwenye kibundo vile napendaga
Mchuju wa tuku, au mbege wachaga
Leo mpaka asubuhi tusuke -saba
Lenye halisumbwi nimeshalipa ada

Wajukuu we na wanao
Njoo tucheze segere
Natupa jembe lao 
Hatukimbizi ngelele

Wengine shauri zao
Si hatusikizi kengele
Tuimbe nyama wale wao
Sisi tukale tembele

Hatuendi shambani, haturudi nyumbani
Hata paje nani mpaka tumalize pombe
Hatuendi nyumbani (Yelele) haturudi shambani (Yelele) 
Hata paje nani mpaka tumalize pombe

Aiyeye, pombe
Aiyeye, pombe 
Aiyeye, pombe
Mpaka tumalize pombe

Aiyeye, pombe
Aiyeye, pombe 
Aiyeye, pombe
Mpaka tumalize pombe

Mbona mwatubana bana kila siku tuvuke mabonde
Mbona kazi pana pana lengo lenyu mwataka tukonde
Tushachoka kuinama kulima sana kama makonde
Leo sisi tumegoma tuwachane kidogo tunywe pombe

Oooh lala eh, ayee eh eh
Oooh lala eh, ayee eh eh
Oooh lala eh, ayee eh eh
Oh lala, oh lala, lala lala

Hatuendi shambani, haturudi nyumbani
Hata paje nani mpaka tumalize pombe
Hatuendi shambani (Yelele) haturudi nyumbani (Yelele) 
Hata paje nani mpaka tumalize pombe

Aiyeye, pombe
Aiyeye, pombe 
Aiyeye, pombe
Mpaka tumalize pombe

Aiyeye, pombe
Aiyeye, pombe 
Aiyeye, pombe
Mpaka tumalize pombe

We ticha nzoi, usituboe
Ushatutuma sana kuuza visheti, utukomoe
We ticha nzoi, tusizogoe
We mwenyewe cha pombe tukinywa sisi usikosoe

Eh chango kibao, kamchape baba mwenyewe
Tisheti zambarau, nenda kauze mwenyewe
Mi sikufeli na dharau yuwa tatizo ni wewe
Kufundisha na sahau, basi tuacheni tulewe

Hatuendi shambani, haturudi nyumbani
Hata paje nani mpaka tumalize pombe
Hatuendi nyumbani (Yelele) haturudi shambani (Yelele) 
Hata paje nani mpaka tumalize pombe

Aiyeye, pombe
Aiyeye, pombe 
Aiyeye, pombe
Mpaka tumalize pombe

Aiyeye, pombe
Aiyeye, pombe 
Aiyeye, pombe
Mpaka tumalize pombe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Pombe (Album)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MADEE

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE