Home Search Countries Albums

Asante Lyrics


Asante Yesu
Asante eh eh
Asante Mfalme
Asante , Sana bwana
(Asante Yesu
Asante eh eh
Asante Mfalme
Asante ehh)

Dhambi zangu zingenisakama ahhh
Maadui wangenimaliza  (Ukaniokoa)
Dhambi zangu zingenisakama ahhh
Maadui wangenimaliza  (Ukaniokoa)
Ulichagua kifo niishi ehh
Ukabena laana  (Nibarikiwe)
Ulichagua kifo niishi ehh
Ukabena laana  (Nibarikiwe)
Ohhhhh

Asante Yesu (Asante Yesu)
Asante eh eh (Ehhh asante Yesu)
Asante Mfalme
Asante Ehh
(Asante Yesu)
Asante Yesu
(Ohh asante ) Asante eh eh
(Umeteenda mema) Asante Mfalme
(Ooh ohh ohh)
Asante eh
Heee ehhhh
Bila wewe ningekiwaje bwana

Usifiwe usifiwe (Mhhhh)
Ewe bwaba usifiwe (Uuuuuu)
Uinuliwe uinuliwe
Ewe bwaba uinuliwe (Utukuzwe tukuzwe)
Utukuzwe utukuzwe
Ewe bwana utukuzwe (Usujudiwe sujudiwe)
Usujudiwe usujudiwe
Ewe bwana usujudiwe
Matendo yako ni ya ajabu
Upendo wako mkuu Sana (Ehhhhhh eh)
Usifiwe
Matendo yako eh
Matendo yako ni ya ajabu
Upendo wako mkuu Sana (Ehhh Baba ahhh)
Usifiwe

Asante Yesu
(Ohh asante ehh)
Asante eh eh
Asante Mfalme
Asante eh
(Unanipenda zaidi)
Asante Yesu
(Kaniondoa Kwa tope )
Asante eh eh
(Asante Yesu )
Asante Mfalme
(Asante Baba)
Asante eh
(Asante asante ehh ehh)
Asante yesu
(Asante asante  eh eh)
Asante eh eh
(Ohhh ohhhh Ehh ohhh)
Asante mfalme
(Ehh ohhh )
Asante ehhhh
(Asante Yesu)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Asante (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

LYDIAH MAINA

Kenya

Lydiah Maina is a gospel minister, singer & songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE