Home Search Countries Albums

Usukani

LYDIAH MAINA

Usukani Lyrics


Mhhh yeeee

Kwa macho yangu
Naweza ona niko sawa
Kumbe siko sawa (sawa ahh)
Nataka nitembee nawe ili ni ifikie hatima
Oh yangu hatima, (hatima ahh)
Siku zote sikio halizidi kichwa
Halizidi kichwa ehh
Nitakwamini usiku hata kukicha
Hata kukicha eh baba
Kwa mwendo wa aste aste
Ni wewe nakufwata yaweh
Wewe ujuae mwanzo na mwisho wangu
Kwa mwendo wa aste aste ni wewe nakufwata yaheh
Wewe ujuae mwanzo na mwisho wangu (ehh baba)

Chukua usukani baba
Chukua usukani baba
Chukua usukani baba
Chukua usukani baba
Chukua Chukua Chukua Chukua
Chukua usukani baba
Chukua Chukua Chukua Chukua
Chukua usukani baba

Sitaki nijifanye najua
Mwishowe nkaja kuunguwa jua
Kama sarah nisijitaftie ishmaeli
Mwishowe nkaja kuunguwa jua
Kwa huduma yangu suwezi bila wewe (babaaa)
Safari yangu siwezi bila wewe (baba)
Jamii yangu siwezi bila wewe (babaaa)
Jitihada zangu siwezi bila wewe (ohhh)

Chukua usukani baba
Chukua usukani baba
Chukua usukani baba
Chukua usukani baba
Chukua Chukua Chukua Chukua
Chukua usukani baba
Chukua Chukua Chukua Chukua
Chukua usukani baba

Kwa mwendo wa aste aste
Ni wewe nakufwata yaweh
Wewe ujuae mwanzo na mwisho wangu
Kwa mwendo wa aste aste
Ni wewe nakufwata yaweh
Wewe ujuae mwanzo na mwisho wangu

Chukua Chukua Chukua Chukua
Chukua Chukua Chukua Chukua

Chukua usukani baba
Chukua usukani baba
Chukua usukani baba
Chukua usukani baba
Chukua Chukua Chukua Chukua
Chukua usukani baba
Chukua Chukua Chukua Chukua
Chukua usukani baba

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Usukani (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

LYDIAH MAINA

Kenya

Lydiah Maina is a gospel minister, singer & songwriter from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE