Home Search Countries Albums

Jealousy Lyrics


Staki kukuona
Staki kukuona na nwnigine
Kuona na nwnigine
Staki kukuona
Staki kukuona na nwnigine
Kuona na nwnigine

Oh jealous
I get so jealous
Anybody tries to talk you
Trying to dance with you
Oh jealous
Do you get jealous?
When the ladies scream at my name
I wanna know before it shows
That is a human nature
I’m not the type to judge
Ikifanyika I’m so sorry
Don’t act upon me girl
That is a human nature
I’m not the type to judge
Ikifanyika I’m so sorry
But girl lately

Staki kukuona
Staki kukuona na nwnigine
Kuona na nwnigine
Staki kukuona
Staki kukuona na nwnigine
Kuona na nwnigine

Oh jealous
Oh jealous
Oh jealous
Oh jealous

Eh, kwanbie tu ukwela ukiwa kitonga
Kila mpita njia atakuja kugonja
Najua uko DM kama wanakusonga
Kwa gear za zubonga
Na gear za muomba
Sukari yangu watu wanataka kuonja
Biria chonga mzigo wako watasomba
Na unga unga dotti fit na connect
Ukiweka post napitia comment
So free maarket hu kitu private
Wasingi wasijiachie kama consent
Wasema ndege wako ukiwa ndani
Akiwa  barabarani huuu anaruka na mani
Sometimes mi nakuwa niko witani
Wongo zako viwanjani, na marafika company
Na ukiendanga kwa fundi cherehani
Vipimo mi jamani yaani yaani

Staki kukuona
Staki kukuona na nwnigine
Kuona na nwnigine
Staki kukuona
Ukichekeshwa  na nwnigine
Cheka  na nwnigine
Staki kukuona
Staki kukuona na nwnigine
Kuona na nwnigine
Staki kukuona
Ukidensi na nwnigine
Densi na nwnigine

Oh jealous
Oh jealous
Oh jealous
Oh jealous

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Jealousy (Single)


Copyright : © 20 22 Sol Generation Records


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NVIIRI THE STORYTELLER

Kenya

Nviiri the Storyteller (real name Nviiri Sande) is a Singer-Songwriter, Guitarist, Performer an ...

YOU MAY ALSO LIKE