Home Search Countries Albums

Meremeta

WILLY PAUL

Meremeta Lyrics


Mapenzi yalianza ana Adamu na Hawa
Miaka zikapita baby tukazaliwa
Wazee walinena mapenzi gharama
Na kama ni gharama mi nishakupenda aiyaiya

Ooh amka kumekucha my lover
Jogoo wa kokoriko amewika
Nikumbate nikate my lover

Ooh baby nionjeshe kidogo (Dogo dogo)
Hii asali nilambishe kidogo (Dogo dogo)
Umenikamata mutema nashindwa kulala
Nisipokuona siku moja nashinda nikiwaza

Hata gizani mama yoo, unamereme unameremeta
Chumbani mama yoo, unamereme unameremeta
Hata ukidunga akala yoo, unamereme unameremeta
Hata nywele iwe mbovu yeah, unamereme unameremeta

Meremeta yoo yoo, unamereme unameremeta
Meremeta yoo yoo, unamereme unameremeta

Baby uko sawa na haupigi posti
Miss independent hulinganishwi mamaa
Baby uko sawa hata ukiringa ni sawa my lover
Uko shwari mama ukiringa ni sawa my lover
Penzi lako ni tamu asali, halua halua
Kama polisi nitakulinda my darling, for sure for sure

Ooh baby nionjeshe kidogo (Dogo dogo)
Hii asali nilambishe kidogo (Dogo dogo)
Umenikamata mutema nashindwa kulala
Nisipokuona siku moja nashinda nikiwaza

Hata gizani mama yoo, unamereme unameremeta
Chumbani mama yoo, unamereme unameremeta
Hata ukidunga akala yoo, unamereme unameremeta
Hata nywele iwe mbovu yeah, unamereme unameremeta

Meremeta yoo yoo, unamereme unameremeta
Meremeta yoo yoo, unamereme unameremeta

Oooh meremeta, meremeta mama
Oooh meremeta, meremeta mama
Oooh meremeta, meremeta mama
Oooh meremeta, meremeta mama

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : The African Experience (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WILLY PAUL

Kenya

Born on  September 1, 1993, Wilson Abubakar Radido, better known as WILLY PAUL MSAFI,  ...

YOU MAY ALSO LIKE