Hanipendi Lyrics

Sio kama siku nyingi Mwaka Jana tu
Nakumbuka vile tulipendana Tu
Kabla Hatujatenganishwa na watu
Mpaka Leo sisi tunagombana tuuuuu
Unanijia Ndotoniiii
Unanikumbuushaaa Mbaliiii
Naamka sikuoniiiii
Maumivu Ni makaaliiii
Natamani nikuoneeee
Nikuuulizeee maswaaliii
Mbona mwenzako siponi
Hata Kunijuliaaa Haaalii
Bora Figo ziko mbili moyo upo mmoja Hio ndo shidaaa
Kwako wew tupo wawili kwangu Upo mmoja hio Ndo shida
Huyu Mwenzenu hanipendi (Hanipendi Hanipendi)
Oneni Hanipendi (Hanipendi Hanipendi)
Huyu Mwenzenu hanipendi (Hanipendi Hanipendi)
Sa Kwanini Hanipendi....(Hanipendi Hanipendi)
Kwenye sinema yako, umeniweka jambazi lazima nife
Me kumbukumbu zako, Ndo zinazoniliza unataka nife
Ninazo namba zako, Endapo nikipiga lazima ziiite
Hizi message zako, Ndo zinazoniliza unataka nife
Unanijia Ndotoniiiiii
Unanikumbuushaaa Mbaliiiiiii
Naamka sikuoniiiiiii
Maumivu Ni makaaliiiiii
Natamani nikuoneeee
Nikuuulizeee maswaaliiiii
Mbona mwenzako siponi
Hata Kunijuliaaa Haaaliii
Bora Figo ziko mbili moyo upo mmoja Hio ndo shidaaa, eeee
Kwako wew tupo wawili kwangu Upo mmoja hio Ndo shida
Huyu Mwenzenu hanipendi (Hanipendi Hanipendi)
Oneni Hanipendi (Hanipendi Hanipendi)
Oneni Hanipendi (Hanipendi Hanipendi)
Huyu Mwenzenu hanipendi (Hanipendi Hanipendi)
Sa Kwanini Hanipendi (Hanipendi Hanipendi)
iiiiih eeeeeeh Me Mwenzenu hanipendiii
Lody Music on this one
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
LODY MUSIC
Tanzania
Lody Music is an artist from Tanzania. He is best known for his trending song "Kubali". ...
YOU MAY ALSO LIKE