Nyuma ya Kivuli Chako Lyrics

Ooohh! oh! oh...
Yaweh eh! (Yaweh)
Mtetezi wangu ni wewe
Maadui zangu uwasamehe
Uwape umri mrefu, waje washuhudie
Utukufu wako na matendo yako makuu
Utukufu wako na matendo yako makuu
Nisiwaombee njaa, iwaombee mema
Na kwenye kufunga kwangu, niwaombee mema
Na Malaika wako wanifunike
Kwa mbawa zao niwe salama
Nimekuwa nyuma ya kivuli chako
Yaani natembea nuruni mwako
Shida majaribu na magonjwa vinisongapo
Navikabidhi mikononi mwako
Nimekuwa nyuma ya kivuli chako
Yaani natembea nuruni mwako
Shida majaribu na magonjwa vinisongapo
Navikabidhi mikononi mwako
Roho yangu naikuimbie
Ya dunia yasiniumize eeh!
Kuna wwnaotembea kama wanafuraha
Lakini ndani yao majonzi yamewajaa
Malaika wako wawafunike
Kwa mbawa zao wawe salama
Nisiwaombee njaa niwaombee mema
Kwenye kufunga kwangu niwaombee mema
Na Malaika wako wawafunike
Kwa mbawa zao wawe salama
Nimekuwa nyuma ya kivuli chako
Yaani natembea nuruni mwako
Shida majaribu na magonjwa vinisongapo
Navikabidhi mikononi mwako
Nimekuwa nyuma ya kivuli chako
Yaani natembea nuruni mwako
Shida majaribu na magonjwa vinisongapo
Navikabidhi mikononi mwako
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nyuma ya Kivuli Chako (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LINEX SUNDAY MJEDA
Tanzania
Linex Sunday Mjeda is a bongo flavour artist from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE