Dunia Nyingine Lyrics
The VOA
Take 5 now
Touch!
Ukitaka wala vya kwangu kama nikiwa hai
Na urithi mali zangu kihali
Sikuwa mtu kwenu kesha ufunge na kusali
Mwisho wangu usiwe mzuri, we mtaka shari
Najua mapenzi yamekwisha
Hakuna haja mja kunifanya visa
Tupandishane mapresha
Nikose usingizi mwezangu unakula maisha
Mi naye hatuivi
Chombo kimoja hatupikwi
Mi naye hatuivi
Chombo kimoja hatupikwi
Naishi dunia nyingine
Na nina mpenzi mwingine
Si unajua utamu wa penzi jipya
Na limenikolea
Naishi dunia nyingine
Na nina mpenzi mwingine
Si unajua utamu wa penzi jipya
Na limenikolea
Mfamaji na unatapa tapa
Ulichokitaka na ushakipata
Ulichoninyima we
Kwa mwenzako napata
Kiranga chako kimekuponza
Sikutaka ata uwe mke mwenza
Ulichoninyima we
Kwa mwenzako napata
Wa moja havai mbili
Talaka tatu sio mbili
Wa moja havai mbili
Talaka tatu sio mbili
------
Mi naye hatuivi
Chombo kimoja hatupikwi
Mi naye hatuivi
Chombo kimoja hatupikwi
Naishi dunia nyingine
Na nina mpenzi mwingine
Si unajua utamu wa penzi jipya
Na limenikolea
Naishi dunia nyingine
Na nina mpenzi mwingine
Si unajua utamu wa penzi jipya
Na limenikolea
Hatukuzaliwa tumbo moja, siku moja
Tushindwe kugawana njia
Hatukuzaliwa tumbo moja, siku moja
Tushindwe kugawana njia
Naishi dunia nyingine
Na nina mpenzi mwingine
Si unajua utamu wa penzi jipya
Na limenikolea
Naishi dunia nyingine
Na nina mpenzi mwingine
Si unajua utamu wa penzi jipya
Na limenikolea
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Dunia Nyingine (EP)
Copyright : (c) 2020 The VOA
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
LINEX SUNDAY MJEDA
Tanzania
Linex Sunday Mjeda is a bongo flavour artist from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE