Home Search Countries Albums

My Life

MONI CENTROZONE Feat. JUX

Read en Translation

My Life Lyrics


Central Zone East
Majengo Sokoni for lifestyle

Cuz am living my life eeh, My life my life
Cuz am living my life eeh, My life my life 
Cuz am living my life eeh, My life mmmh my life
Cuz am living my life eeh, My life no no nooo my life 

Tukishapiga puff eeeh hatupokei councelling
Hatupokei counseling
Tumetoka Dambwe tunaongeza Hustling tunaongeza Gasoline

Kutoka kwenye ardhi ya mangwea na bushoke
Ambapo tembo alididimia kwenye tope (Idodomia)
Ilibidi nihame mkoa ndo nitoke
Salute kwa chamber squard makole hexagon na dope
Mkitaja watoto wenu wa trap msitaje jina langu
Maybe best rapper of all time ndo mtaje jina langu
Wanasema mi naongea nikilewa nikivuta kaya
Nyuma ya kuta za choo sasa mchizi nachimba dawa

I wonder masnitch sio washindi japo wanalala na kete
Wanatamani udate kutwa unawasha mipepe
Wataisubiri story ya dem wako amemegwa wakutete
Wakat wao madem zao wanaowakata ni vicheche
Aah loser to pay winner to stay
Kama pool table cheza na balls

Tunapotoka hatusnitch oyaaa msela
Si wenyewe watoto wa street oyaa msela
Angalia unavyoishi oyaa msela oyaaa oyaa

Cuz am living my life eeh, My life ooh no no nooo my life
Cuz am living my life eeh, My life no no noo my life 
Cuz am living my life eeh, My life woo woo wooo my life
Cuz am living my life eeh, My life no no nooo my life 

Nishafanya vingi now you can tell me nothing
Vuka vigingi yote kusaka something
Mungu na bidiii baraka za wazazi mpka mkaelewa
Popote napotimba sasa soo (soo)
Mpaka wanakiri mabishoo (mabishoo)
Kama kwenye jeshi komandoo, sasa mnaelewa

Waambie watoto wa Dom town miaka kumi nimeikuza sijaibemenda
Sijaona wakuibeba Dom siwez kustaafu chagua bega
I will be the victory the leader mkulungwa leodigar tenga
Anzia kikuyu chamwino gwasa nkuhungu mpk itega
Nilipotoka nishaona fitna kuisaka rupia
Tukiona ubwabwa wa hitma wana tunavamia
Sometime mlo mmoja mama anauza bagia
Mpaka sasa Show za mwanza nafly na bombardier
Wengi macheckbob af wachawi wanasota vitako
Wakija kuwanga wanakuta nimeketi kitako
Usiombe wakuchukie wakutukanie na Mama ako
Endapo ukiwakosea watakukumbushia maisha yako yote

Tunapotoka hatusnitch oyaaa msela
Si wenyewe watoto wa street oyaa msela
Angalia unavyoishi oyaa msela oyaaa oyaa

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : My Life (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MONI CENTROZONE

Tanzania

Moni Centrozone is a rapper, recording artist, Founder Of Majengo Sokoni Music in Dodoma, Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE