Karibu Lyrics
Najua ni majaribu
Ila jaribu kurudi nyuma si mbava
Najua mapenzi yanakutesa umekondeana
Nimejaribu kuongea na baby
Oh baby huyu mwenzetu atadead
Huwezi amini amekubali
Yuko radhi muwe wawili
Ila amesema ukirudi
We mwenzetu we, upunguze na mdomo
Yale maneno ya kiburi
We mwenzetu we upunguze na mdomo
Na amesema ukirudi
We mwenzetu we, upunguze na mdomo
Yale maneno ya kejeri
We mwenzetu we, upunguze na mdomo
Usikoondee
Karibu, mwaya karibu
Usisuse karibu
Usione haya karibu (Usikoondee )
Karibu, mwaya karibu
Usisuse karibu
Usione haya karibu (Usikoondee )
Najua usharopoka mengi ushasema
Binademu tumembiwa maneno
Hata umeme nao unakosa luku
Nitashagaaje binadamu kudema
Najua unataka hutaki
Unachotaka hupati
Na kurudi kwangu bahati
Ila ukikumbuka nafsi inakuuma
Nimejaribu kuongea na baby
Oh baby huyu mwenzetu atadead
Huwezi amini amekubali
Yuko radhi muwe wawili
Ila amesema ukirudi
We mwenzetu we, upunguze na mdomo
Yale maneno ya kiburi
We mwenzetu we upunguze na mdomo
Na amesema ukirudi
We mwenzetu we, upunguze na mdomo
Yale maneno ya kejeri
We mwenzetu we, upunguze na mdomo
Usikoondee
Karibu, mwaya karibu
Usisuse karibu
Usione haya karibu (Usikoondee )
Karibu, mwaya karibu
Usisuse karibu
Usione haya karibu (Usikoondee )
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Karibu (Single)
Copyright : (C) Slide Digital
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE