Nabembelezwa Lyrics
She goes, she comes
She goes, she comes
She goes, she comes
She goes, she comes
Kipi kinasababisha uniache mi
Ama nikuache we baba walahi
Ama waje kutugombanisha
Haiwezi kutokea haijawahi kutokea, haitowahi
Mungu ametuunganisha
Penzi kalibariki hata useme nini sikatai
Na vile unavyonifikisha
Umenipa pumziko, umenipa kabari walai
Yote tisa kumi ndo nishakupenda
Na ndo maana bado najidai
Vyote nipe mimi nishasurrender
Ukiomba wala sikatai
Yote tisa kumi ndo nishakupenda
Na ndo maana bado najidai
Vyote nipe mimi nishasurrender
Ukiomba wala sikatai
Chupu chupu za kuachwa
Sitaki kwa ugomvi uso maana (Nabembelezwa)
Nipe supu nyama ya samaki
Na kisambu cha jana (Nabembelezwa)
Chupu chupu za kuachwa
Sitaki kwa ugomvi uso maana (Nabembelezwa)
Nipe supu nyama ya samaki
Na kisambu cha jana (Nabembelezwa)
Nabe, nabe, nabe, nabe (Nabembelezwa)
Nabe, nabe, nabe, nabe (Nabembelezwa)
Nabe, nabe, nabe, nabe (Nabembelezwa)
Nabe, nabe, nabe, nabe (Nabembelezwa)
Dubai ama Zanzibar
Tule supu ya kuku pale tandika
Jidai mama katika
Au tukacheze kidogo pale chandika
Divai ama party cup
Ama unataka ka kuku ka kumbandika
Sifai maana nina sifa
Naweza kukupa buku ukishanipa
Yote tisa kumi ndo nishakupenda
Na ndo maana bado najidai
Vyote nipe mimi nishasurrender
Ukiomba wala sikatai
Yote tisa kumi ndo nishakupenda
Na ndo maana bado najidai
Vyote nipe mimi nishasurrender
Ukiomba wala sikatai
Chupu chupu za kuachwa
Sitaki kwa ugomvi uso maana (Nabembelezwa)
Nipe supu nyama ya samaki
Na kisambu cha jana (Nabembelezwa)
Chupu chupu za kuachwa
Sitaki kwa ugomvi uso maana (Nabembelezwa)
Nipe supu nyama ya samaki
Na kisambu cha jana (Nabembelezwa)
Nabe, nabe, nabe, nabe (Nabembelezwa)
Nabe, nabe, nabe, nabe (Nabembelezwa)
Nabe, nabe, nabe, nabe (Nabembelezwa)
Nabe, nabe, nabe, nabe (Nabembelezwa)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Nabembelezwa (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
FETTY SLEY
Tanzania
Fatma also known as Fetty Slay artist from Tanzania. She is best known for her song "Toka ...
YOU MAY ALSO LIKE