Lala Magufuli Lyrics

Oh oh oh oh, lala lala
Embe dodo embe dodo limelala mchangani
Mungu hutoa na kutwaa kwa wakati kwa wakati
Na jina lake likatukuzwe eh
Ulichotumu umekimaliza
Kwa wakati, kwa wakati
Tunashukutu uuuh
Ni ngumu kuamini kwamba hauko tena
Imezimika nuru
Ni ngumu kuamini kwamba hauko tena
Ni vigumu
Oh oh oh oh, lala lala
Lala baba wa wanyonge lala
Oh oh oh oh, lala lala
Lala baba wa maskini
Oh oh oh oh, lala lala
Lala baba wa wanyonge lala
Lala lala
Wanyonge tunakuombea, masikini tunalia
Umetuachia pigo, pigo
Dua tumekusomea labda Mungu atakurudisha
Ni mzito huu mzigo
Yanayotuumiza moyo
Tukitazama mazuri uliyotufanyia
Ah ni pigo, pigo
Ni ngumu kuamini kwamba hauko tena
Imezimika nuru
Ni ngumu kuamini kwamba hauko tena
Ni vigumu
Oh oh oh oh, lala lala
Lala baba wa wanyonge lala
Oh oh oh oh, lala lala
Lala baba wa maskini
Oh oh oh oh, lala lala
Lala baba wa wanyonge lala
Lala lala
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Lala Magufuli (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE