Home Search Countries Albums

For You

BEN POL

For You Lyrics

Ki afya na imani mzima
Una nuru na uko salama ee
Ki ukweli nashukuru Karima
Niko huru mawazo mi sina eh

Ukipata muda tuongee
Nikusalimu si kwa ubaya
Natamani nikuambie
Nikushukuru japo kwa haya

Nimeacha company ya rafiki na
Nikipata nahifadhi zikeshe baa
Ulinisihi nipate hata motokaa
Na nyumba nimejenga nazeeka paa

Kiki ya taifa ni kubwa sana
Nilikucha kwangu ziwe tamaa
Akija ananipenda nisimpe jeraha
Nashukuru ulinipa msemwa

Sasa niko better better for you
Nimebadilika for you
Sasa niko better better for you
Nimebadilika for you

Sasa niko better better for you
Nimebadilika for you
Sasa niko better better for you
Nimebadilika for you

You baby, baby baby
You baby, baby baby

Zimezagaa stori mtaani
Wakasema nimefulia
Wakakodoa kwa maneno hunnie
Hukutaka kunikimbia

Hongera kwa ndoa nakuombea mema
Nashukuru ulivumilia
Umenikomboa kwa uliyonena
Na majuto nikajutia

Ukipata muda tuongee
Nikusalimu si kwa ubaya
Natamani nikuambie
Nikushukuru japo kwa haya

Nimeacha company ya rafiki na
Nikipata nahifadhi zikeshe baa
Ulinisihi nipate hata motokaa
Na nyumba nimejenga nazeeka paa

Kiki ya taifa ni kubwa sana
Nilikucha kwangu ziwe tamaa
Akija ananipenda nisimpe jeraha
Nashukuru ulinipa msemwa

Sasa niko better better for you
Nimebadilika for you
Sasa niko better better for you
Nimebadilika for you

Sasa niko better better for you
Nimebadilika for you
Sasa niko better better for you
Nimebadilika for you

You baby, baby baby
You baby, baby baby

Wewe wewe wewe
Wewe wewe wewe
Wewe wewe wewe
Wewe wewe wewe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : B (EP)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

BEN POL

Tanzania

Benard Michael Paul Mnyang'anga aka Ben Pol is an award-winning singer and songwriter mainly pro ...

YOU MAY ALSO LIKE