Home Search Countries Albums

Power Lyrics


Ishi, tunaishi
Ishi, tunaishi

Wanachora mipaka lakini mamba anavuka(Fire)
Maana la kati mbishi niliyetwika lawama(Fire)
Usiku na mchana wanawanga siwangiki(Siwangiki)
Mtoto wa Mungu sijawahi kuogopa

Tupo na Mungu hatuogopi mafisi
Tupo na Mungu hatuogopi shetani
Tupo na Mungu hatuogopi uchawi
Tupo na Mungu hatuogopi mafisi

Mungu(Power) Mungu(Power)
Mungu(Power) Mungu(Power)
Mungu(Power) Mungu(Power)
Mungu(Power) Mungu(Power)

Ishi, tunaishi
Ishi, tunaishi
Ishi ishi, tunaishi
Ishi ishi, tunaishi

Mwenyezi Mungu hajawahi ogopa
Mwenyezi Mungu hajawahi kufa
Mwenyezi Mungu hajawahi kushindwa
Mwenyezi Mungu hajawahi kulia

Kataa, sitaogopa
Kataa sitashindwa
Sitaogopa, sitashindwa

Mungu(Power) Mungu(Power)
Mungu(Power) Mungu(Power)
Mungu(Power) Mungu(Power)
Mungu(Power) Mungu(Power)

Ishi, tunaishi
Ishi, tunaishi
Ishi ishi , tunaishi
Ishi ishi, tunaishi

Yeah Mambas Entertaiment
Tuko chini ya Mwenyezi Mungu
We live your life men
You punch me once we punch you tripple

Baba, Mwana na Roho Mtakatifu
Always we are happy
We live your life men
Touch sound, brown punch, na me

I am Konki, Konki, Konki master!

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Power (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KONKI 3 MASTER

Tanzania

Konki 3 Master aka Dudu Baya  is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE