Home Search Countries Albums

Nimekufa?

KHAN SILLAH

Nimekufa? Lyrics


Mmh mmh
Khan sillah

Mbele ya macho naona
Giza limetanda mimi sielewi
Nasikia sauti nzito ngurumo
Kama radi sielewi
Kwa mbali nasikia sauti ya katoto kanasononeka
Kelele na villio ooh ooh
Watu wanachomwa moto
Na wengine wanazomewa
Hukumu, hukumu, hukumu
Na wengine wanafurahia
Peponi, peponi, peponi
Hivi nikweli
Kwa haya nnayo yaona
Hivi bado niko hai
Au nimekufa
Hivi nikweli, nikweli
Natamani iwe ndoto, iwe ndoto
Natamani iwe ndoto, iwe ndoto
Natamani iwe ndoto, iwe ndoto
Natamani iwe ndoto, iwe ndoto

Mbele ya macho yangu
Namuona magufuli
Mwalimu nyerere
Na mkapa pia
Mbele ya macho yangu
Namuona Patrick
Ntoto wa muna na shangazi maimuna
Ile tuu ni ninataka huwafuata, wanapotea
Inatokea mijoka inameza watu
Ooh kwa mbali ninamsikia Michael Jackson
Nabaki mimi nalia sillah simuoni oh
Mi nasikia, nikitwa
Na sauti ya babu oh
Nageuka namuona
Babu yuko na bibi
Hivi ni kweli
Kwa haya ninayo yaona
Hivi bado niko hai
Au nimekufa
Hivi nikweli, nikweli
Natamani iwe ndoto, iwe ndoto
Natamani iwe ndoto, iwe ndoto
Natamani iwe ndoto, iwe ndoto
Natamani iwe ndoto, iwe ndoto
Natamani iwe ndoto
Natamani iwe ndoto, iwe ndoto
Natamani iwe
Hivi bado niko hai, bado niko hai

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Nimekufa? (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KHAN SILLAH

Tanzania

Khan Sillah is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE