Sibanduki Lyrics

(Kimambo on the beat)
Bonge la toto, nyuma kokoto
Za ki baikoko, lile bokoboko
Ana mwendo wa midadi
Nishamuekea guard lakini underbody
Mambo yake maridadi
Benati tipotapo
Ananipa double double
Ntafungasha kirago nampeleka Chicago
Mambo mwakemwake kwa hilo penzi lake
Akizungusha body body
Yani nalipa kodi kodi
Akienda akirudi rudi
Yananipanda midadi daddy
Vitu vyake si kitoto
Ananipa changamoto
Sibanduki kwake
Sibanduki kwake
Sibanduki kwake
Sibanduki kwake
Ameniweka ndani nje stoki staki
Raha za chumani nje spati staki
Stoki kitandani ujuzi umeutoa wapi?
Umenipa dawa gani wewowani kweli skwachi
Sibanduki kwake sijaona mfano wake
Wenye chuki kwake, mmeona tunda lake?
Mmeona raha ya mume akiwa na mke akiwa na wakwe?
Mnamuona mwanamume anajituma ili asiachwe?
Penzi lake si kitoto limenishika
Aubui changamoto jogoo akiwika
Penzi lake si kitoto limenishika
Aubui changamoto jogoo akiwika
Vitu vyake si kitoto
Ananipa changamoto
Sibanduki kwake
Sibanduki kwake
Sibanduki kwake
Sibanduki kwake
Vitu vyake si kitoto
Ananipa changamoto
Sibanduki kwake
Sibanduki kwake
Sibanduki kwake
Sibanduki kwake
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Sibanduki (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE