Home Search Countries Albums
Read en Translation

Unitaki Lyrics


Future

Pacheko midundo

Vitamin Music forever

Inaama ndio unitakii (nalia mama aah)

Sms huzionii (nalia mama aah)

Simu haupokeii (nalia mama aah)

Naukipokea hauongei (nalia mama aah)

Inaama ndio unitakii (nalia mama aah)

Sms huzionii (nalia mama aah)

Simu haupokeii (nalia mama aah)

Naukipokea hauongei (nalia mama aah)

Aahh

Kamwe sitoacha kukusumbua

Hata ukinivimbia nitavumilia

Kamwe sitoacha kukusumbua

Hata ukinivimbia nitavumilia

Aaa

Wewe ndio umefanya nikayajua aya

Mwaya wewe akili yangu ukaitimua aya

Mwaya wewe nilipopenda ndo nilipo bugi mie

Uaminifu wangu ndio umeniponza mie

Kama chupa limeamka na chai nashtuka

Sijiwezi nipo hoi

Kwani mi kuyajua nimechelewa

Ama kwa penzi lake nimenogewa

Kwani mi kuyajua nimechelewa

Ama kwa penzi lake nimenogewa

Eti kama kambale nateleza peke yangu

We upo mbali sikuoni my wangu

Eti kama kambale nateleza peke yangu

We upo mbali sikuoni my wangu weeeh

Inaama ndio unitakii (nalia mama aah)

Sms huzionii (nalia mama aah)

Simu haupokeii (nalia mama aah)

Naukipokea hauongei (nalia mama aah)

Inaama ndio unitakii (nalia mama aah)

Sms huzionii (nalia mama aah)

Simu haupokeii (nalia mama aah)

Naukipokea hauongei (nalia mama aah)

Maumivu uliyonipa donda lisopona

Nahisi nitazikwa aah nimekoma

Maumivu uliyonipa donda lisopona

Nahisi nitazikwa aah nimekoma

Nikiuliza vip anajibu utajua ujuii

Kwani vipi inamaana hanitambuii

Inamaana sauti yangu haijuii

Ama mi ndio sipendwii sijuii

Inamaana sauti yangu haijuii

Ama mi ndio sipendwii sijuii

Mudy K shemeji yenu anijui

Hata nikimtazama usoni hanitambuii

We msizwaa shemeji yenu anijui

Hata nikimtazama usoni hanitambuii

(nilipopenda ndo nilipo bugi mie

Uaminifu wangu ndio umeniponza mie)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Baraka Mkande

SEE ALSO

AUTHOR

Msomali

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE