Home Search Countries Albums

Sugua Lyrics

Amini kwamba kapaso apa, genius kutoka
Tanzania eeh Cheche Chee

Nimelewa mwili sijalewa, akiri
Mambo ya kuibiana sio swali
Dondoa haraka, kreti mbili
Yani mpaka asubuhi Umepata wapi?
Usiulize, we lipa biri
Kumbuka na mtoto kama wewe zarau
Sitaki ntakupa kipigo ukaadisie
Mbona jeuri?
Wewe ugomvi sitaki
Ntakupa kipondo ukasimulie

Bac, nguto, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa
Bac, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa
We rayder, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa
Sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

Uyu dada ana mzuka wa kusaura mpishe acheze
Chula Chula anapenda maji, lakini sio ya moto
Kapewa kidogo, kanogewa, kumbe big chawa
Chula anapenda maji, lakini sio ya moto
Kama uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
Nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa
Uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
Nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa

Bac, nguto, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa
Bac, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa
We rayder, sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa
Sugua tinga tinga, cheza tinga tinga
Sugua tinga tinga, we ng'ata kidole ringa

Oooooooooh chiiiiii
Bac, cheza kama mende, kichwa chini, miguu juu, mama
Dunda dunda, si unacheza kungfu
Wanang'aa kama mende, kichwa chini, miguu juu, mama
Dunda dunda, si unacheza kungfu
Tucheze za Kichina China, za Kichina
China Huhaaa We, za Kichina
China, za Kichina China Huta ishuuuuu
We, za Kichina China, za Kichina
China Huhaaa Turuke za Kichina
China, za Kichina China Huta ishuuuuu
Maswali mengi, uyu dada amekunywa nini?
Mbona ivi? Wanangu, huu dada amekunywa nini? Mbona vile?
Anamzuka wa dable kick, dable kick, dable kick, dable kick
Anamzuka wa key vant, key vant, key vant, key vant
Kama uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
Nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa
Uchafu ukigandia kwenye shati, sawa
Nakupangusa, nakutoa kiboko ya madowa

Hiii kwa wanangu wa zamani na wa siku zote
Nikiwa na producer nguto
Aaaah, nguto on the track
Aah, nakubali wazee wa Smart Africa, ee, aah
Deco de Souza, eeeh, anakusalimia mwanangu
Ada boy kinyani
Aah, Msodoki the Sun, abal ya town, ee, aah, nakubali mwanangu
Shahali the boss
We Mauzo Chata, anakusalimia mwanangu
Esco Pablo Wazee wa Bazic Mathematics, aaah
Mr. BKP
Sura ya baba, miaka ya babu, mbuzi hang'ati

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2023

Album : Sugua (Single)

Added By : Kapaso

SEE ALSO

AUTHOR

KAPASO BKP

Tanzania

Meet Geoffrey Ezlom, better known by his stage name Kapaso Bkp, a talented Singeli musician and perf ...

YOU MAY ALSO LIKE