Shisha Singeli Lyrics

Shisha Singeli Vinanada Classic
Aaah Chunchu Eeeh Ohh
Jamani Mapenzi na shisha mi napenda shisha
Mi mwenzako sipendi mapenzi ya kibongo mi napenda shisha
We jamani mapenzi na shisha mi napenda shisha
Siku hizi siyataki mapenzi ya kibongo napenda Shisha
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Oya Weeh
Kila mtu ana haki ya kupenda anachotaka
Kuhusu mapenzi mwezenu sielewi
Kunywa mitungi mibange kula bata
Yaani mademu ndio mmhh sielewii
Oya mtanichanganya ukinyima shisha
Ukitaka ni lose hope we ninyime shisha
Fadhili utanivuruga ukininyima shisha
Ukitaka nikufelishe we nyime shishaa
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Kumanisha nini wezee
Minapenda shisha shisha shisha nataka shisha
Shii beberuu Kapaso hapa
Genius From Tanzania
Anga Bkp Brand anaitwa sabri night
Oyaa hii nikiwa na Fadhili chunchu chan
We bish Dereva wa mkoa
Nakusalimia mwanangu Kaiser Larden Don Mendezi
We D smartCode Roho safi mwanagu
Big stima Subiri fadhili Subiri
Aaah sponsor
Mc Hapa Mtk
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Loreen Terry
SEE ALSO
AUTHOR
KAPASO BKP
Tanzania
Meet Geoffrey Ezlom, better known by his stage name Kapaso Bkp, a talented Singeli musician and perf ...
YOU MAY ALSO LIKE