Jumba Bovu Lyrics

Naamka asubuhi namuaga mke wangu
Ngoja nikaforce tupate kulaa
Napiga msakwi nachukua nguo zanguu
Sina buti raba mi zangu ni ndalaa
Kutoka kwangu stend parefu ila ndio kazi ya mguu yangu
Mazoea shida faraja yupo likizoo kiufupi hayo ndio maisha yangu
Maeneo ya Chamazi
Magengeni Si unajua gari za kugombea
Nami nina mia tatu mfukoni
Nikampooza konda akapotezeaa
Nilipoketi kuna ndugu wa imani
Nikatoa salamu safari ikaendelea
Ile nataka kushuka kituoonii
Kuna dada analia kaibiwaa
Msalaa Msalaa msalaa msalaa
Msalaa kwangu
Jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa
Jumba bovu jumba bovu leo limeniegemea
Jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa
Jumba bovu jumba bovu leo Limeniegemea
Eeeehh Eeeehh
Yako tisa 10 yangu mimi hali tete
Sihitaji kuficha napitia changamoto
Wasionipenda wanapenda mimi niteseke
Sio siri napitia nyingi changamoto
Ila sichoki najitahidi pambana
Mwili unazidi choka nafsi inakata
Sasa kubwa kuliko hii hapa hii
Ndio iliyofanya mimi nasota hivi
Kuna siku narudi nyumbani nimechoka
Sina kitu mkononi mke anafokaa
Eti ohh maisha haya nimeshayachoka
Nasitaki chochote mi nataka kuondokaa
Napigaje goti itakuwaje kama ukondoka
Anapandisha sauti eti nimekuchoka
Nikainuka kwa asira nikamshika mkono
Nisimame akajivuta akaanguka puuh
Eeeeeehh Puuhhhh damu tuu
Eeeeeehh Puuhhhh damu tuu
Jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa
Jumba bovu jumba bovu leo limeniegemea
Jumba bovu jumba bovu leo limeniangukiaa
Jumba bovu jumba bovu leo Limeniegemea
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : Baraka bakari mkande
SEE ALSO
AUTHOR
KAPASO BKP
Tanzania
Meet Geoffrey Ezlom, better known by his stage name Kapaso Bkp, a talented Singeli musician and perf ...
YOU MAY ALSO LIKE