Chunga Lyrics
Iyee iyee iyee
Mi nilidhani mwenzangu una mie
Utanitunza kwa shida na raha
Aibu yetu ya kwako na mie
Isili yetu isivunde chang'aa
Ah mimi na wewe si wa kutupia vijembe
Tushakuwa watu wazima
Kwanza jielewe tazama nyuma na mbele
Bila daftari utapotea shirima
Mwenzako mi muungwana
Si mshamba wa mapenzi
Ni kawaida tu kukosana
Na si kuleta uchochezi
Mwenzako mi muungwana
Si mshamba wa mapenzi
Ni kawaida tu kukosana
Na si kuleta uchochezi
We mwana washa moto (Chunga chunga)
Usichochee makaa (Chunga chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga)
Usifufue balaa (Chunga chunga)
Usiwashe moto (Chunga chunga)
Usichochee makaa (Chunga chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga)
Usichochee balaa (Chunga chunga)
Maji mkononi huwezi kuyashika (Shika)
Na mi mwanadamu si malaika (Ika)
Kabla hujafa hujaumbika
Nitunzie madhaifu yangu oooh
Penzi lilinikaba kama tai
Japo uliniahidi mi nawe till I die
Penzi ukalimwaga kama chai
Nami nazima data hadi WiFi
Mwenzako mi muungwana
Si mshamba wa mapenzi
Ni kawaida tu kukosana
Na si kuleta uchochezi
Ooh mwenzako mi muungwana
Si mshamba wa mapenzi
Ni kawaida tu kukosana
Na si kuleta uchochezi
We mwana washa moto (Chunga chunga)
Usichochee makaa (Chunga chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga)
Usifufue balaa (Chunga chunga)
Usiwashe moto (Chunga chunga)
Usichochee makaa (Chunga chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga)
Usichochee balaa (Chunga chunga)
We mwana washa moto (Chunga chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga)
Usiwashe moto (Chunga chunga)
Tukutane salama mimi na wewe (Chunga chunga)
Usichochee balaa (Chunga chunga)
Chunga chunga, chunga chunga
Chunga chunga, chunga chunga
Chunga chunga, chunga chunga
Chunga chunga, chunga chunga
(Mafia)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Chunga (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KAYUMBA
Tanzania
Kayumba Asosie is a singer/songwriter / artist from Tanzania. He is best known for love so ...
YOU MAY ALSO LIKE