Home Search Countries Albums
Read en Translation

Penzi Jipya Lyrics


J4d sound Shiiiii

Beberu Adasco m2 mbad

Atupashagi viporoo

Atupashi makabichi

Tukiachana tumeachana haina ku go back

Atumezi matapishi haturudigi reverse

Yaani tukiacha tumeachana haina ku go back

Sawa ndio tuliishii tukaishia

Kwani hamsini zako sinilikupatia

Sijui kipi unang'ang'ania

Na bado unamtangazia bwana ako anakibamia

Ngoja nikuambie ukweli

Sasa hivi nina penzi jipya

Kwa huyu mshenzi nilie nae

Ndio ana wivu wa kuua

Acha nikuambie ukweli

Sasa hivi nina penzi jipya

Kwa huyu mjinga nilie nae

Ndio ana wivu wa kuua Aaaah

Yaani usiombe upende usipopendwa

Mpenzi wako awe na mtu mwingine

Ufanye chumio mwenzako ndio anapendwa

Unaeshare nae ndio ivyo uumjue

Niliachana nae japo nilimpenda

Kwa uchungu nateswa navidonda

Potelea pote mawazo mwanakwenda

Najipa moyo naamini Nitapendwa ipo siku

Haikupita siku nzima bila kunitambia

Eti mpenzi wake anakali ndinga

Hakujali maumivu mimi ninayopitia

Kwa Mungu hakuna kikubwa chini ya anga

Hakujua Ngoja nikuambie ukweli

Sasa hivi nina penzi jipya (Oooh sasa hivi napenzi jipya)

Kwa huyu mshenzi nilie nae

Ndio ana wivu wa kuua(wakua wakuua)

Acha nikuambie ukweli

Sasa hivi nina penzi jipya (Sasa jipendekeze akuumize akuumize)

Kwa huyu mjinga nilie nae

Ndio ana wivu wa kuua

Shii wa kuua

Oya bkp brand bigboss rass

Oya kaizaer larden we ndio ndugu yangu

Wakali wa road nyi ndio chafu zangu

Oya mwanangu Taso we ndio ndugu yangu

Mia tatu thelathini na tatu oya nyi wanangu

We shamtecheda we ndio chafu yangu

Baraka Mkande we ndio

Kazi yangu kumi na tano ishirini na tano checheee

We kinyani Kapaso hapa geneius from Tanzania

Sura ya baba miaka ya babu Mbuzi ang'ati

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2024


Album : (Single)


Added By : Baraka Bakari Mkande

SEE ALSO

AUTHOR

KAPASO BKP

Tanzania

Meet Geoffrey Ezlom, better known by his stage name Kapaso Bkp, a talented Singeli musician and perf ...

YOU MAY ALSO LIKE