Home Search Countries Albums

Goma

K2GA

Goma Lyrics


Usiku wa kwanza nilipofanya kasema anaumia
Na siku ya pili akaniambiaga roho inauma na inachoma
Na siku ya tatu alipofanya akasema anasikia raha
Jamani anasikia raha, kasema anasikia raha
Jamani anasikia raha

Anaitaka mi namkatalia
Nisipompa jamani ananililia
Ananivute ananishikilia
Analishik shik shik mi nitampatia

Mama upepo huo upepo huo (Upepo wa kisulisuli)
Upepo wa kibunga upepo huo (Upepo wa kisulisuli)
Sema upepo huo upepo huo (Upepo wa kisulisuli)
Upepo wa kisuli upepo uwo (Upepo wa kisusi)

Anaitaka mi namkatalia
Nisipompa jamani ananililia
Ananivute ananishikilia
Analishik shik shik mi nitampatia

Njoooweni tucheze wote
Hili goma sio la kwangu, la kwetu wote
Njoooweni turuke wote
Mlio lala ndani leo tucheze wote

Mi nalikata, mi nalikata mama
Uno la taratibu mi nalivunja mama
Mi nalivunja, mi nalivunja tena
Mi nalika ka ka, mi nalikata dada

Na ukinibeep nitakupigia
Na ukinisema nitakununia
Na ukinichuki nitakuchukia mama we
Na ukilicheza nitakubambia kwa utamu we

Kwa utamu, kwa mama
Kwa utamu wa beat hili goma kwa utamu dada
Kwa utamu kwa mbona
Kwa uta ta ta, kwa utamu baba

Anaitaka mi namkatalia
Nisipompa jamani ananililia
Ananivute ananishikilia
Analishik shik shik mi nitampatia

Mama upepo huo upepo huo (Upepo wa kisulisuli)
Upepo wa kibunga upepo huo (Upepo wa kisulisuli)
Sema upepo huo upepo huo (Upepo wa kisulisuli)
Upepo wa kisuli upepo uwo (Upepo wa kisusi)

Anaitaka mi namkatalia
Nisipompa jamani ananililia
Ananivute ananishikilia
Analishik shik shik mi nitampatia

Njoooweni tucheze wote
Hili goma sio la kwangu, la kwetu wote
Njoooweni turuke wote
Mlio lala ndani leo tucheze wote

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Safari (EP)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

K2GA

Tanzania

K2GA is a Tanzanian singer and songwriter  signed under KINGS MUSIC label. ...

YOU MAY ALSO LIKE