Home Search Countries Albums

Lisambela

K2GA

Lisambela Lyrics


Nimetoka mjini nimekuja na doti ya khangai
Leo vaa upendeze sasa wangu nawe kujitanda
Haki ya mungu sikuachi
Mi lisa wangu nataka kachanga
Tena vile unanikosha mi
Jicho lako kama umekula manga
Lisa wewe ndo wangu
Wangu mi pekeyangu
Usitujaze tukawa wengi utaumiza roho yangu
Lisa wewe ndo wangu
Wangu mi pekeyangu
Usitujaze tukawa wengi utaumiza roho yangu
Dolidoli lisambela (iyeee lisambela)
Lisa lisa mama (iyee iyee iyeelisambela)
Dolidoli lisambela (iyeee lisambela)
Lisa lisa wwooh (iyeee lisambela)

Tena mjini nimeona vingi
Tena wazuri wengi
Waloumbika n akujipamba oh mama vigingi
Make up kujitandika
Na nywele za kushonesha
Na kope za kubandika
Na mwendo wakubadilisha
Lisa wewe ndo wangu
Wangu mi pekeyangu
Usitujaze tukawa wengi utaumiza roho yangu
Lisa wewe ndo wangu
Wangu mi pekeyangu
Usitujaze tukawa wengi utaumiza roho yangu
Dolidoli lisambela (iyeee lisambela)
Lisa lisa mama (iyee iyee iyeelisambela)
Dolidoli lisambela (iyeee lisambela)
Lisa lisa wwooh (iyeee lisambela

Dolidoli lisambela
We lisa wewe wangu
Dolidoli lisambela aaaah
We lisa mama lisa ooh lisa we
Lisa taa yangu
Lisa nuru yangu
Lisa kipenzi changu
Akakuone mama yangu
Ufunge ndoa yangu
Lisa uwe yangu
Lisa wee lisa lisa ooh

Dolidoli lisambela
Lisa woowoo lisa
We lisa lisa ooh nakupenda
Dolidoli lisambela aaaah yamoyo
Lisa lisa wee wangu lisa
Lisa lisa lisa wooh lisa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Lisambela (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

K2GA

Tanzania

K2GA is a Tanzanian singer and songwriter  signed under KINGS MUSIC label. ...

YOU MAY ALSO LIKE