Wazungu Lyrics
Yeah!
I would like to introduce to you
(Sounds by Abbaaah!)
Bytar Beast Olua
The one and only in town toto baddee
Don’t get it twisted is Abbah Music baby
Kwanza nishadata kwako umenitoa akili
Ongeza mikachumbari na mapilipili
Kwake mi nawai viwili viwili
Nipige suti na tai tutoke wawili
Baby girl you know
The way you wine your waist like you know
Me touch your body mixer miguno
Na unanikosha ukisakata uno uno unoooo
Your body type biggie wa sumo
Hey yaah vita jumong
Yaani kubum kubam nachoma mchomo
Ukiletaa nawekaa humo
I say stop, weka mate ama wese
Iteleze haooo wanakuja, stop!
Ikamate kote itembeze
Haoo wanakuja
Wazu wazungu hao
Wazu wazungu hao
Wazu wazungu hao
Wazu wazungu hao
I say stop!
Ayanza chikisa yanza
Ayanza chikisa ye
Ayanza achikisa
Achikisa achikisa yanza
Ayanza chikisa yanza
Ayanza chikisa ye
Ayanza achikisa
Achikisa achikisa yanza
Hahaha Yo that was Yese Oman Rafiq
Now I would like to introduce to you eey
Everybody say, Jaivah, Jaivah
Say Jaivah eey
Everybody say, Jaivah, Jaivah
Say Jaivah hey
Kwako weka niweke weke
Achana na vicheche che che che
Nitulize mapepe pe pe
Ukiweza niteke ke ke ke
Umeuteka mtima
Upendo wako hakuna mzani wa kupima
Nitakufuata na beamer
Nikuteke nikupeleke dinner
Umeuteka mtima
Upendo wako hakuna mzani wa kupima
Nitakufuata na beamer
Nikuteke nikupeleke dinner
Kwako nakaa nakaa nakaa
Nakaa nakaa nakaa ka ka ka
Nimeshika kwa ngaa kwa ngaa kwa ngaa
Kwa ngaa kwa ngaa kwa ngaa ngaa ngaa ngaa
I say stop! Weka mate ama wese
Iteleze haooo wanakuja, stop!
Ikamate kote itembeze
Haoo wanakuja
Wazu wazungu hao
Wazu wazungu hao
Wazu wazungu hao
Wazu wazungu hao
I say stop!
Ayanza chikisa yanza
Ayanza chikisa ye
Ayanza achikisa
Achikisa achikisa yanza
Ayanza chikisa yanza
Ayanza chikisa ye
Ayanza achikisa
Achikisa achikisa yanza
(Sounds by Abbah)
The Mix Killer
Abbah!!!!!!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : The Evolution (Album)
Copyright : (c) 2021 Abbah Music.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ABBAH
Tanzania
Abbah Process real name Sweetbert Charles Mwinula is aka the 'Beat Monster' is a music ...
YOU MAY ALSO LIKE