Home Search Countries Albums

Kutamu

FOBY

Kutamu Lyrics

Nilizoea sana kukaa nyumbani
Nikawaga sijui mambo Club yanakuwaje
Kule na huko huku na huko
Wanangu asubuh wana amkaga na mabebe
I said let me go
Let me try
Coz i wanna know
Kwanini wang’ang’anie
What makes them go everyday 
Nikajiona fala
Kwanini nilipendaga kulala
Mi ni mtu wa kwaya
Ila club siku moj moja siyo Mbaya
Leo hii nimekuwa gwiji
Club Bar zote nafunga mimi
Nakesha na watoto wa Mjini
Wavaa vibikini 
Utaambia nini

Jamani Mziki ni Mtamu
Nyie Cluba kunanoga
Na kuna vitoto vikaliii
Ndo kinachonichanganya
Jamani Mziki ni Mtamu
Nyie Cluba kunanoga
Na kuna vitoto vikaliii
Ndo kinachonichanganya

Siku moja natoka Kumoka
Akili ikanituma nikaruke tu majoka
Nikakutana na toto la sniker
Kumbe kwao frex baba ni zee la moka
I was like how are you
Can you dance with me right now
She said that Yes i do just come and dance with me right now
Wakati  nataka kuondoka
Kurudi nyumbani
Si nikajikuta sina hata mia
Kitoto si kikaropoka
Twende hotelini
Shika key endesha sijui hata njia
Nikajiona fala
Kwanini nilipendaga kulala
Mi ni mtu wa kwaya
Ila club siku moj moja siyo Mbaya
Leo hii nimekuwa gwiji
Club Bar zote nafunga mimi
Nakesha na watoto wa Mjini
Wavaa vibikini 
Utaambia nini

Jamani Mziki ni Mtamu
Nyie Cluba kunanoga
Na kuna vitoto vikaliii
Ndo kinachonichanganya
Jamani Mziki ni Mtamu
Nyie Cluba kunanoga
Na kuna vitoto vikaliii
Ndo kinachonichanganya

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Kutamu (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

FOBY

Tanzania

Frank Ngumbuchi, popularly known as FOBY, is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE