Simuachi Lyrics
Uuuuuuuuh
Yeeeeeeiyeeeeee
Nina kila sababu, Ya kuwa na yeye
Kwake kichanga nabembelezwa na yeye
Wake ustaarabu, Nini nipewee
Maana muda mrefu nimekuwa mwenyewe
Sasa mapema
Narudi nyumbani, Vitu navikuta mezani
Silisili vya mtaani, Mwenzenu
Kwa sasa
Mawe nipigeni, Maneno nisemeni
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi. (Simuachi)
Mawe nipigeni, (Na mniue)
Maneno nisemeni (Na ridhika)
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi
Oooooooooooooooooooooooh
Oooooooooooooooooooooooh
Oooooooooooooooooooooooh
Oooooooooooooooooooooooh
Wa nini, Ung’adung’adu kufukuza mende
Ya nini, Kuwa waruwaru nikuumize uende
Kwa nini, Niwe wa kuchovyachovya nikauingia mkenge
Niamini, Nawe usije ukapata bichwa ukaota mapembe
Sababu we ni mzuri, Umepitiliza
Penzi lako, Mi linaniliza
Kwa sasa
Mawe nipigeni, (Nipigeni) Maneno nisemeni
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi. (Simuachi)
Mawe nipigeni, (Na mniue)
Maneno nisemeni. (Eyeeeeee)
Vikao vikaeni, Huyu mtoto simuachi
Oooooooooooooooooooooooh
Oooooooooooooooooooooooh
Oooooooooooooooooooooooh
Oooooooooooooooooooooooh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Simuachi (Single)
Copyright : © 2022 African Boy Rec.
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE