Nimeamini Lyrics

Aah, aah, aah
Nilikuwa nikingoja wapi itatokea
Faraja ya kweli
Nilikuwa nikingoja wapi itatokea
Furaha ya kweli
Nilijua labda pesa itanifariji
Nilijua labda wingi wa marafiki
Nilojua nyumba na magari nilionayo
Sikujua napoteza muda kushikilia vya duniani
Kumbe ni wewe (Yesu)
Bwana wangu (Yesu)
Ni mwaminifu (Yesu)
Rafiki wa kweli (Yesu)
Faraja ya kweli (Yesu)
Kimbilio langu (Yesu)
Wewe (Yesu) Bwana (Yesu)
Bwana
Nimeamini kwamba upo
Nimekuona mwenyewe umenizunguka Yesu
Nimeamini kwamba upo
Nimekuona mwenyewe Yesu umenizunguka
Ayee zile tantarira Bwana
Wale marafiki wabaya
Yesu umeniondolea
Na ukaweka kuta yoyo
Wewe ni Mungu wa ajabu
Upendo wako wa ajabu
Neema yako ya ajabu
Ukae daima ndani yangu
Wewe ni Mungu wa ajabu
Upendo wako wa ajabu
Neema yako ya ajabu
Ukae daima ndani yangu
Nitakupenda wewe (Yesu)
Ooh Yesu (Yesu)
Nitakupenda wewe (Yesu)
Lalalala (Yesu)
Yahweh Yahweh (Yesu)
Oh lalalala (Yesu)
Ishi ndani yangu (Yesu)
Yesu (Yesu)
Nitalitumaini, nitaliinua
Jina lako Yesu
Mimi nitalitumaini, nitaliinua
Jina lako Yesu
Yesu (Yesu)
Jina lako ni (Yesu)
Yesu (Yesu)
Mwokozi wangu (Yesu)
Umenifanya wa pekee (Yesu)
We Yesu (Yesu)
Mfalme ni yeye (Yesu)
Aah, aah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Nimeamini (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
JESSICA (J SISTERS)
Tanzania
Jessica MShama also known as Jessica (J Sisters) is a gospel artist from Tanzania, a member of ...
YOU MAY ALSO LIKE