Home Search Countries Albums

Tulizana

Budah Son Feat. BUDAH G

Tulizana Lyrics


Eyoooo de kankara (auu auuuu auuu auuuu auuuuu)
Eyoo Mabudah pon de area (Uuuuuuh)

The way you touch ma body you take me high
When i see your smile you burn me fire
Your beautiful and I'm proud to be your lover
Nipendane nawe twende sawa
Yee ilikuwa utani,,,,aah Ikawa story
Nikakuweka moyoni weeee
Ukanikaa kichwani nikakuota ndotoni wewe
Wewe aaaaaaaaaah
I don't want to make you sad
I don't want to make you cry
I just want to make you feel owrite
With your love am getting high
Baby you know my vibe
You understand my timing
You control ma body
Don't log me out
Am fallin in love am sign in (siyo siri yayaaaa)

Kwenye himaya Hii tawala
Naimani unanipenda nakupenda sanaa
Piga chini yasokuwa yamaana
Tulizana Tulizana Tulizana
Leo zaidi jana kesho tuzidi fanana
Tunaenda sana yaani aaah yaani raha
Wanimaliza mimi mwenzako mi nyang'a nyang'a
Sanaa sanaaa Mi nyang'aa nyang'aa
Umeniweza umenimaliza Umeniteka kwako mateka
Kwenye movie like like star
We unang'aa Unang'aa like star aaah

Hivii enzi unajuwa Mapenzi matamu wawili wakipendana
Ni zaidi ya siraha kama zaidi ya Furaha kama
Kupendana kwa sanaaa ndo inaleta maana
Eeeh Eeeh Eeh Everywhere I Go
Baby your my size Kwenye matatizo peke yako unae nifariji
Tena bila likizo Wanipa mimi nifaidi nikufaidi unifaid
Your my Divai

Kwenye himaya Hii tawala
Naimani unanipenda nakupenda sanaa
Piga chini yasokuwa yamaana
Tulizana Tulizana Tulizana
Leo zaidi jana kesho tuzidi fanana
Tunaenda sana yaani aaah yaani raha
Wanimaliza mimi mwenzako mi nyang'a nyang'a Sanaa sanaaa
Mi nyang'aa nyang'aa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Tulizana (Single)


Added By : Baraka Mkande

SEE ALSO

AUTHOR

Budah Son

Tanzania

Tanzania afro pop group formed by Graysongs & Budahson. ...

YOU MAY ALSO LIKE