Home Search Countries Albums

Shauri Zao

WINI Feat. BEN POL

Shauri Zao Lyrics


Mwenzako kwako nishakunja nafsi
Utaniamkia nishafyeta
Usije nipanga ka mishikaki
Ukanichezesha prakata

Nishapitia visanga na beza ukabula
Na ukabula eh
Mambo ya kuchanja chanja na nazi nishavuja
Oh nikavunja eh

Sema kweli kwako fall in love girl
Nasaka na kapete nikuvishe
Oh baby I know you love me
Siwezi fanya uteseke

Hutolia machozi hapa umefika kwa king of love
Nishajaza kibaba wangu malaika
I swear I will never ever lie to you

Basi nipende niringe oh niringe
Kwako hoi hoi
Na siogopi mviringe oh mviringe
Nilishagaumizwa moyo

Nami wacha nikupende wanga wanune
Nawe uringe oh
Kwangu bahati ya tende kuwa nawe
Acha wanune shauzi zao

Kwenye vijiba vya roho, macho ya chongo
Acha waumwe roho, shauri zao
Kama kuku madonda shingo yaning'inia
Wana wivu na choyo, shauri yao

Wanateseka teseka iyo teseka
Wanateseka hao, shauri zao
Chekecha chekecha chekecha iyo chekecha
Tuwachekeche hao

Halitaweka uziwio kwenye ngome la penzi langu baby
Tucheze kuchikuchi hata paranawe
Oh baby vimba baby vimba (Vimba)
Komesha mapepo punda (Vimba)
Penye ukisaga rhumba (Vimba)
Vile ukikata wima (Vimba)

Nasema kweli kwako sina mpango wa kando
Samaki nishanasa kwa chambo
Chuvi nainyunyiza kwa tango
Baby ooh naipenda

Acha nijipe udigo penzi nishaweka uzio
Kwako nishabwaga roho
Zile mshike mshike ukiniseka mwenzio
Najibwaga kwa bungalow

Basi nipende niringe oh niringe
Kwako hoi hoi
Na siogopi mviringe oh mviringe
Nilishagaumizwa moyo

Nami wacha nikupende wanga wanune
Nawe uringe oh
Kwangu bahati ya tende kuwa nawe
Acha wanune shauzi zao

Kwenye vijiba vya roho, macho ya chongo
Acha waumwe roho, shauri zao
Kama kuku madonda shingo yaning'inia
Wana wivu na choyo, shauri yao

Wanateseka teseka iyo teseka
Wanateseka hao, shauri zao
Chekecha chekecha chekecha iyo chekecha
Tuwachekeche hao

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Shauri Zao (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

WINI

Tanzania

Wini Masi is a fast rising female Bongo artiste from Tanzania. Beautiful vocals, mermersing dancer, ...

YOU MAY ALSO LIKE