Kiguu Na Njia Lyrics

Anhaaaa anhaaa
Onhooohho
Once again
Onhooo
Walisema mapenzi dawa ohoh
Ila kwako nilipata ugonjwa ah
Ukanilisha bila kunawa oohoh
Madharau hukua na uoga
Ndo mana nimekukata
Nimekuzimia taa
Mwenye roho ya paka
Usie wahi ridhika
Mapema nilijua
Mbali hatutafika
Kipi kinakuwasha
Mbona wahangaika anhaa
Habari zako nimezisikia mbali
Yamaanisha wewe kiguu na njia
Unazunguka kusambaza vidosari
Hakuna baya mimi nilokufanyia
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga wewe
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga wewe
Ona nanananah
Ono nonononoh
Ona nanananah onaaaaaah aah
Sasa natulia jinsi napatiwa raha za dunia (acha iyo)
Anazingatia tabasam langu nisije kulia (acha iyo)
Na tena fundi wa mapenzi amejaaliwa (acha iyo)
Kajawa hisia mahaba asilimia mia onhoo
Ulitaka nikongoroke oooh
Niwe hoi yani nichoke aah
Kwenda huko wewe cha wote oooh
Huna jambo huna lolote aaaah
Habari zako nimezisikia mbali
Yamaanisha wewe kiguu na njia
Unazunguka kusambaza vidosari
Hakuna baya mimi nilokufanyia
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga wewe
Watia tia unga
Wasaga saga rumba
Yako yamekushinda
Ya kwangu kuyachunga wewe
Ona nanananah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JAY MELODY
Tanzania
Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he ...
YOU MAY ALSO LIKE