Mwizi Lyrics

Ayo lizer
Do you know
When you call me your queen
Mwenzako i feel so happy happy
Do you know
That you're my favorite human being
Unakuanga so lovely, lovely
Ah, jamani mwizii iiih moyo kaniibia
Nahisi kihirizi ah, kanichimbia
Mana uchizi si uchizi nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, kwake nimepaliwa
Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
And i swear to god kwako hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
And i swear to god kwako hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
Ooh, tazama ndege anganiii
Wanaimba na kucheza
Zuuunzunzun we mama nyukilia wee
Niliomba dua nami nipate wa kunipendeza
Mungu tu alie mwema amenipa we
Naamini mungu wetu mwema ndo amenipa we
Omalinchanwa huoni ka tunaendana
Wenyewe tumetulizana
Tabia vimo twafanana saana
Mapenzi bwana hata tugombane mchana
Usiku tumeshapatana twacheka na kutekenyana sanaa
Jamani mwiziii moyo kaniibia
Nahisi kihirizi ah, kanichimbia
Mana uchizi si uchezi nachanganyikiwa
Mapenzi kikohozi, ah nimepaliwa
Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
And i swear to god hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
Haki ya mama chochote nitafanya (nitafanya)
And i swear to god hoi nyang'anyang'a (nyang'anyang'a)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Copyright : Copyright ©2024 WCB Wasafi. All rights reserved.
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
ZUCHU
Tanzania
Zuchu real name Zuhura Othman Soud Kopa (born November 22, 1993) is an artist/Singer/Songwriter/Perf ...
YOU MAY ALSO LIKE