Donga Lyrics

Jay Melody - Donga lyrics
Eti mvua isinyeshe
Hiki kihali kipite mbali
Tulia acha mapepe
Ana pepea mtima
Hapa nangoja nideke
Kwa mbali zumari
Kombe la chai yaani walete walete
Eti anacheza
Mkomboti wacha widii
Naona wanalikata
Yaani mdogo mdogo
Macho legeza
Maana hii ni kama mido
Najichezea karata
Nywele tozi la kiCongo
Oooh mimi, sa napagawa changanywa
Naumia donga
Ooooh, anavyonichanganyia uhondo
Naumia donga
Oooh mimi, hata sina la kufanya
Naumia donga
Ooooh, anavyonichanganyia uhondo
Naumia donga
Oooh badii badii badii
Mmmh...
Limziki subwofer
Na fujo zote humu ndani
Nawapigia makelele
Mnisamehe majirani
Tumezibwa ukuta
Ndani raha rubudani
Naye ndo bosi
Na leo yupo na mie(Chawaa mmmh)
Oooh beiby mchanganya utosi mchanganye(Dullah)
Au niwe kivurandi unipe za Don Masha(Churaaa)
Oooh beiby mchanganya utosi mchanganye(Dullah)
Nalo penzi litutande wakati tunataka(Kulaa)
Oooh mimi, sa napagawa changanywa
Naumia donga
Ooooh, anavyonichanganyia uhondo
Naumia donga
Oooh mimi, hata sina la kufanya
Naumia donga
Ooooh, anavyonichanganyia uhondo
Naumia donga
Oooh badii badii badii
Mmmh...
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Donga (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
JAY MELODY
Tanzania
Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he ...
YOU MAY ALSO LIKE