Nyumba Ndogo Lyrics
(DJ Kidogo Dogo)
Ooh! Ooh!
Nikupe taarifa Mwenzangu (Uuh Uh!)
Yamenifika kwa koo!
We mwanamke mwenzangu (Uuh Uh!)
Sema Ooh! Ooh!
Nikupe Taarifa mwenzangu (Uuh Uh!)
Yamenifika kwa koo!
We mwanamke mwenzangu (Uuh Uh!)
Bwanako analalamika, kila akija nyumbani
Eti Hujui Kupika, kula kwako hatamani
Kwangu kalipenda tembele, toto laini laini
Shoga umenyimwa upole, tajiri Wa kisirani
Na samahani, samahani mwanzoni
Sikujitambulisha mimi nani?
Mie ndo Mke Mwenzio
A.K.A Nyumba Ndogo
Tena Nimemganda mumeo kama kichwa na kisogo
Sina Ubaya, sina ubaya Nawe
Aaah! Ukinichukiaa, wanionea bure
Aah! sina ubaya, sina ubaya nawe
Mke mwenza ukinichukia, wanionea bure
Ooh! sina ubaya sina ubaya nawe
Aah! Mwenza ukinichukia, wanionea bure
Ooh! Nasema mnyonge mnyongeni
Haki yake mpeni mke mwenza unanifaa
Mie nikiwa mwezini kwangu haiwezekani
Kwako bwana anakaa mambo kusaidiana
Wala Usihuzunike, siku izi kushare
Mabwana ndo fashion kwa wanawake
Jitahidi chunga sana mwenzangu usiachike
Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aaah! Ukinichukia, wanionea bure
Sina ubaya nawe mke mwenza ukinichukiaa, wanionea bure
Ooh! Sina ubaya, sina ubaya nawe
Aah! Mwenza ukinichukia, wanionea bure
Ooh! Nasema mnyonge Mnyongeni
Haki Yake mpeni mke mwenza unanifaa
Twendee nachie, nachie nachie
Nachie Nachie
Huu Mchezo wa kichina, zungusha kiuno Cheko
We kichina zungusha kiuno cheko
Kama Shepu Huna, pambana na hali yako
Kama Huna pambana na hali yako
Nasema Masha zungusha, we zungusha
Sasa Wanjala zungusha, we zungusha
Khadija Kopa zungusha, we zungusha
Mama Dangote zungusha, we zungusha
Mama Aah! Aah! Aah! Aah! Aah!
We Kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
Eti Nani sijamtaja, aje acheze na mimi
Na kama mzuka umepanda, twende mpaka chini
Eti nani sijamtaja, aje acheze na mimi
Twende changamkeni
Changamkeni changamkeni
Apo kati changamkeni
Changamkeni changamkeni (Mamaaa haa)
Twendee nachie, nachie nachie
Nachie nachie, nasema aii mama
Aii mama aii mama, aii mama wee!
Andaa besee, andaa besee
Andaa besee, andaa besee
Twende mama, andaa besee
Andaa besee, andaa besee
Andaa besee twende
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
Utajijua mwenyewe
(Kamix Lizer)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nyumba Ndogo (Single)
Copyright : (c) 2021 WCB Wasafi
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
ZUCHU
Tanzania
Zuchu real name Zuhura Othman Soud Kopa (born November 22, 1993) is an artist/Singer/Songwriter/Perf ...
YOU MAY ALSO LIKE