Home Search Countries Albums

Nasema Asante

CHRIS MWAHANGILA

Nasema Asante Lyrics


Huu wimbo ni wimbo wa shukurani
Usikie Mungu wangu
Niseme nini kwako? Nilipe nini kwako
Sina cha kulipa mbele zako Mungu wangu

Huu wimbo, huu wimbo
Ni shukurani ni shukurani
Kwako Baba yangu
Asante Bwana, asante Bwana

Nasema asante, nasema asante
Nasema asante ewe Mungu wangu
Nasema asante, nasema asante
Nasema asante ewe Mungu wangu

Hakuna Mungu kama wewe, hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna Mungu kama wewe ewe Mungu wangu
Hakuna Mungu kama wewe, hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna Mungu kama wewe ewe Mungu wangu

Kwa kazi ya msalaba Golgotha uliniokota
Niseme nini mbele zako Bwana wangu nashukuru
Umenipa heshima, umefuta aibu 
Niseme nini mbele zako Bwana wangu nashukuru

Umekuwa wa kwanza, umekuwa wa mwisho
Alpha Omega baba ni wewe

Wewe ni Alpha na Omega, wewe ni Alpha na Omega
Wewe ni Alpha na Omega ewe Mungu wangu
Wewe ni Alpha na Omega, wewe ni Alpha na Omega
Wewe ni Alpha na Omega ewe Mungu wangu

Wewe Mungu wa kwanza na wa mwisho
Wewe Mungu wa kwanza na wa mwisho
Wewe Mungu wa kwanza na wa mwisho 
Ewe Mungu wangu

Wewe Mungu wa kwanza na wa mwisho
Wewe Mungu wa kwanza na wa mwisho
Wewe Mungu wa kwanza na wa mwisho 
Ewe Mungu wangu

Umerejesha yaliyoliwa Bwana
Na parare na madumadu
Umewaweka chini yangu
Maadui zangu wote

Umerejesha yaliyoliwa Bwana
Na parare na madumadu
Umewaweka chini yangu
Adui zangu wote Bwana wangu

Nasema asante, nasema asante
Nasema asante ewe Mungu wangu
Nasema asante, nasema asante
Nasema asante ewe Mungu wangu

Hakuna Mungu kama wewe, hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna Mungu kama wewe ewe Mungu wangu
Hakuna Mungu kama wewe, hakuna Mungu kama wewe 
Hakuna Mungu kama wewe ewe Mungu wangu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Nasema Asante (Single)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

CHRIS MWAHANGILA

Tanzania

Christopher Mwahangila is a gospel artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE