Home Search Countries Albums

Nimekuchagua

LAVA LAVA

Nimekuchagua Lyrics


Uhmmm…. Yeeeah…

Aah ! baby oh !
Mwenzio nina habari
Uje nkung’ate sikio
Sina ujanja oh
Mi kwako dhofuli hali
Nimeshaweka kituo
Nimenunua kufuri
Na mlango nishafunga
Nakukabidhi funguo
Nenda iweke pazuri
Na misumari gonga
Zungusha pia uzio

Oooh..
Staki wa vichochoroni
Zipu nshafunga kwako weeeh
Iweje nkuweke rolehani
Na tetenasi nkulete
Staki wa vichochoroni baby
Zipu nshafunga kwako weewe
Iweje nkuweke rolehani oh baby
Na tetenasi nkulete

Iyaaaa…. (Ahaaa…)
Honey, Oh Honey (Ahaaa…)
Nimekuchagua oh Honey (Ahaaa…)
Honey, Oh honey wee (Ahaaa…)
Nimekuchagua oh Honey (Ahaaa…)

Ooohho…Hey!

Hana maana nilomridhia oh
Aliniacha nikitapatapa
Hakuwa na huruma nilipomkosea
Mi binadamu sijakamilika
Akasahau mapenzi hayana kabila wala kwao
Yoyote anatunukiwa
Uhmm unayemuona kwako tahira ndo uyo uyo
Mwenzako moyo anaujua
Ya nini baby
Staki wa vichochoroni
Zipu nshafunga kwako wee
Iweje nkuweke rolehani
Na tetenasi nkuletee
Staki wa vichochoroni baby
Zipu nshafunga kwako weeweeh
Iweje nkuweke rolehani ooh baby
Na tetenasi nkulete

Iyaaaa…. (Ahaaa…)
Honey, Oh honey (Ahaaa…)
Nimekuchagua oh Honey (Ahaaa…)
Honey, Oh honey we (Ahaaa…)
Nimekuchagua oh Honey (Ahaaa…)
Honey, Oh honey (Ahaaa…)
Nimekuchagua oh Honey (Ahaaa…)
Honey, Oh honey (Ahaaa…)
Nimekuchagua oh Honey (Ahaaa…)
Honey, Oh honey (Ahaaa…)
Nimekuchagua oh Honey (Ahaaa…)

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Nimekuchagua (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

LAVA LAVA

Tanzania

Lava Lava is a Tanzanian musician signed under Wasafi WCB Record label. ...

YOU MAY ALSO LIKE