Home Search Countries Albums

Last Chance

B2K MNYAMA

Last Chance Lyrics


Sikujuwa kumbe mapenzi ndo haya aah
Yanaweza fanya mwisho ukaja kupagawa aah
Ah, kumbe alikuwa ananichora aya aah
Nilimdekeza mwisho akanibwaya vibaya aah (vibaya aah)
Sura imepotea mbele siendi
Kitaani mashkaji wananicheka mamy
Mwili umekongoroka
Mifupa tupu ndio ilobakia
Kama kuna kosa mama nisamehe eeh
Turudiane eeh
Rudi basi home, maisha yaendelee eeh
Miye naogopaga kuumizwa aah
Mwenzio mawazo yanitaliza aah
Na tulianzana aah, badae mama aah
Ikawa ulikaa na kuktangaza aah
Najua kuuchuna unaweza
Ila nashangaa umekubari kunipoteza
Aah nambie eeh

Baby give me last chance (last chance, last chance)
Baby give me last chance ooh (last chance)
Baby give me last chance (last chance, last chance)
Baby give me last chance ooh (last chance)

Hata kama umebadili bwana sio, kuachana oh uwooh
Ina maana umeridhika ukiniacha miye eeh
Okay basi tizam nyuma rudi home
Baby fanya sioni kitu
Huwa tukipishana kidogo msamaha
Tunaombana miye eeh
Nikipiga simu yangu unakata
Uko ndani ukiniona unatoka
Siamini hivi kweli umenichoka
Na tena bado silijui langu kosa
Labda mapenzi sikumridhisha utoto niliudisha
Ukaamua kuniacha, ukaenda mbali ukasepa (ona eeh)
Uzuri umepotea mbele sioni
Kitaani mashkaji wananicheka mamy
Mwili umekongoroka mifuga tupu ndo ilobakia
Kama kuna kosa mama nisamehe eeh
Turudiane eeh
Rudi basi home, maisha yaendelee eeh

Baby give me last chance (last chance, last chance)
Baby give me last chance ooh (last chance)
Baby give me last chance (last chance, last chance)
Baby give me last chance ooh (last chance)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Last Chance (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

B2K MNYAMA

Tanzania

B2k Mnyama is a Tanzania artist. He is the C.E.O  of Starbeat Records. ...

YOU MAY ALSO LIKE