Jiwe Lyrics

Gizani jiwe la gizani
Gizani jiwe la gizani
Gizani jiwe la gizani
Gizani jiwe la gizani
Jiwe gizani porokoto yeah
Linamkuta nani ngongongo yeah
Jiwe gizani porokoto yeah
Linamkuta nani ngongongo
Tena kiujasiri
Nitalipa bili
Nikipata pini yeye yeye
Nita chill
Tujenge family
Vitoto viwili
Nimpe na siri yeye yeye
Ye na mimi (natiloto)
Solo nipo solo
Solo yeeh
Solo nipo solo
Solo yeeh
Jiwe gizani porokoto yeah
Linamkuta nani ngongongo yeah
Jiwe gizani porokoto yeah
Linamkuta nani ngongongo
Yeah hata sipati
Nimetafuta na sipati
Napoteza wakati
Hata sipati hata sipati
Tena kiujasiri
Nitalipa bili
Nikipata pini yeye yeye
Nita chill
Tujenge family
Vitoto viwili
Nimpe na siri yeye yeye
Ye na mimi (natiloto)
Solo nipo solo
Solo yeeh
Solo nipo solo
Solo yeeh (tatarata tira tata tarata)
Gizani jiwe la gizani
Gizani jiwe la gizani
Gizani jiwe la gizani
Gizani jiwe la gizani
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Jiwe (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
IBRAH NATION
Tanzania
Ibrah Nation is a recording artist, song writer and composer from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE