Happy Birthday Lyrics
[VERSE 1]
Kwanza nina furaha
Nitaimba na kucheza (na kucheza)
Washa mishumaa
Weka keki juu ya meza (juu ya meza)
Oh ila usinicheke
Nimekuletea zawadi
Kidogo nilichobarikiwa
Haki mwana mpweke
Aje na dumu la maji
Asije akumwagia
Ah nakapicha kao nitakoposti
Wasiokupenda itawacosti
Ah leo siku yako nishajikoki
Tuko rafiki zako tunasema
[CHORUS]
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
[VERSE 2]
Ah sinywagi pombe leo ntalewa
Niwape shonde waliochelewa
Zikinipanda monde nitapepewa
Ah pembe la ng’ombe au malewa
Ila usiforget
Kusema asante baba na mama
Walokukuza ukakua
Tunakupa na keki kwa wema
Akulinde baba Maulana
Twakuombea na dua
Ah na kapicha kako nitakaposti
Wasikupenda itawacosti
Ah leo siku yako nishajikoki
Tuko rafiki zako tunasema
[CHORUS]
Happy birthday
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Happy birthday to you
Kata keki kata (Kata)
Ooh Kata (Kata)
Kata unilishe
Keki ya jina lako (kata)
Waoneshe na wenzako (kata)
Tupo kwa ajili yako (kata)
Kata unilishe
Ooh basi (kata)
Ooh Kata( Kata)
Kata nikuone
Kata unilishe (Kata)
kata… Kata
Kata unilishe
Ooh nakapicha kako nitakaposti
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2017
Album : Happy Birthday (Single)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
HARMONIZE
Tanzania
Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...
YOU MAY ALSO LIKE