Home Search Countries Albums

Biggie

DULLY SYKES

Biggie Lyrics


This is serious
Dj Ben, Touch
Studio 4.12

Hii kitu ndefu
Kama dredi ya zigi
Inafanya watoto
Wazuri wasio taka kujig wanajig
Wanahaha kama digidigi
Yaani wanakuja speed
Sarakasi na misamba kama Gigy

Ah Jojo Sarafina nadigi
Utawaambia nini wameshadata na biggy
Washakutana navyo ila vijana wana ligi
Wamedata na yangu cause ya kwangu iko biggy biggie

Upana, biggie
Urefu, biggie
Unene, biggie
Uzito, biggie
Yaani nga nga nga, biggie
Ngumu ngumu, biggie
Madem wanashangaa, biggie
Kuhusu gurudumu

Oooh ooh, biggie
Eeh biggie biggie, biggie 
Oooh ooh, biggie
Eeh biggie biggie, biggie 

Milele nalima kama jembe, biggie 
Yangu cassava ya denga, biggie 
Hii ni bakora ya viwembe, biggie 
Sina haja ya mudembe, biggie biggie biggie 

Yangu biggie imeshanipaga mke Rufiji
Ndo inawateka siombi tisha shamba ya bibi
Tena biggie, mpaka wanasahau mawigi
Madem wa chuo wanahonga mpaka friji

Naenda kuuza sura Mlimani City
Nipate mama la kunilea kibishi
Tena nafuga rasta kama la wala vijiti
Nikawateke wazungu wa Cocobeach

Upana, biggie
Urefu, biggie
Spidi utadhani nimetumwa na kijiji
Uwezo, biggie
Nguvu, biggie
Nazaa watoto team mpaka nafungua ligi

Oooh ooh, biggie
Eeh biggie biggie, biggie 
Oooh ooh, biggie
Eeh biggie biggie, biggie 

Milele nalima kama jembe, biggie 
Yangu cassava ya denga, biggie 
Hii ni bakora ya viwembe, biggie 
Sina haja ya mudembe, biggie biggie biggie 

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Biggie (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DULLY SYKES

Tanzania

Abdul Sykes, also known as Dully Sykes, Mr Misifa or Mr Chicks is a Tanzanian musician born on ...

YOU MAY ALSO LIKE