Home Search Countries Albums

Baila Lyrics


Kama unanipenda sana
Umarufu weka mbali
Na ile nyumba ni ya mama
Hivyo usiwaze madale
Isiwe kesho madrama
Pigiwa simu na tale
Eti insta natukanwa
Umeshanzisha kware
Yani moyo wangu
Mwepesi kupenda na mgumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nayempenda kinidharau
Moyo wanguuuu
Hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wanguu
Ndo maana nasisitiza usije na weee
Baila baila baila(×3)
Bailaaa mamaaa
Baila baila baila(×3)
Mmm
Ah muziki vitaaa, hawataki niendelee
Hivyo ukipata nafasi, tafadhali niombeee
Na nyumbani visa, ndugu zangu wazoeee
Itaniumiza nafsi, ikifika musiongee
Na mashemeji kwa ofisi mnapocheka nao
Tahadhari sana
Siunajua wanamuziki vitabia vyao
Wamejawa tamaa
Na dada zangu, mawifi chunga nyendo zao
Usipelekwe mrama
Wakikumbia kaniki mara chota nyayo
Jua mumeo na kwama
Utamu wa bigijii, nikutafuna
Usimeze rodaaa, ongeza tu bidii
Kunikuna, sio kuniroga
Kunikomba zaidii, pika nguna
Ntaleta mbogaa, kunipenda ka hivii
Kwetu suna, shushie na soda
Yani moyo wangu, mwepesi kupenda mgumu kusahau
Moyo wangu
Nateseka sana nampenda akinidharau
Moyo wanguuuu
Hodari kugawa wakunipa sina
Moyo wanguu
Ndo maana nasisitiza usije na wee
Baila baila baila
Bailandoooo
Baila baila baila
Baila kipenzii
Baila baila baila
Eeeh
Bailandoooo
Baila baila baila
Baila kituuu
Bailaa baila bailaa
Baila me hoi
Baila baila baila
Eeeh
Bailandooo
Instrumental
Usiseme love me then u lying
Usiseme love me then u lying aah
Aahhh
Usiseme love me then u lying
Mmmh
Usiseme love then u lying aahhh
Baila baila baila (×3)
Baila mamaaa
Baila baila baila
Oooh baila,
Baila baila baila
Baila kipenzi
Baila mamaa

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : A boy from Tandale (Album)


Copyright : (c) 2018 Universal Music Group


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

DIAMOND PLATNUMZ

Tanzania

Naseeb Abdul Juma ( born on 2nd October 1989 ), popularly known by his stage name Diamond Platnumz, ...

YOU MAY ALSO LIKE