Umesahau Lyrics

Mmmmh iyeee eh eh aah aah
Kitu mapenzi nimeona wengi
Wakunifanya wakunichanganya
Ila umeuwa bendi
Kwingine siendi, mwingine sipendi
Japo mabaya unayofanya
Ila mi sikutengi mmh
Maamuzi yako alikushauri nani
Ukabeba virago ukaondoka nyumbani
Ahaa iyeiyee ebu vuta kumbuka zamani
Tulikotoka wote maisha ya chini
Umesahau! Aah wapi umeanza dharau?
Ahaa mbona sasa umesahau?
Ahaa wapi umeanza dharau?
Aah ooh mama ooh mama yeah
Oooh mamaa ooh mama iyaa
Oooh mamaa ooh mama iyaa
Oooh mamaa ooh mama iyee
Yeah yeah yeah yeah
Oooh mamaa ooh mama iyaa
Oooh mamaa ooh mama iyaa
Oooh mamaa ooh mama iyee
Lile ua letu
Tulolopanda baby mimi na wewe
Leo limenyauka aah mmmh
Na chumba kizito
Kimebaki lonely lonely lonely
Navuta tuu mashukaa ayee
Umenipa mateso ya ndoto zako ooh
Zinajirudia eeh, eeh mamaa eeh
Masononekoo kwa ajili yako
Utanirudia eeh
Umesahau! Aah wapi umeanza dharau?
Ahaa mbona sasa umesahau?
Ahaa wapi umeanza dharau?
Aah ooh mama ooh mama yeah
Oooh mamaa ooh mama iyaa
Oooh mamaa ooh mama iyaa
Oooh mamaa ooh mama iyee
Yeah yeah yeah yeah
Oooh mamaa ooh mama iyaa
Oooh mamaa ooh mama iyaa
Oooh mamaa ooh mama iyee
(Free Nation)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Umesahau (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HAMIS BSS
Tanzania
Hamis Bss is a singer/guitarist from Tanzania. He was among the participants at Bongo ...
YOU MAY ALSO LIKE