Home Search Countries Albums

Achaniongee

HAMIS BSS

Achaniongee Lyrics

Mambo mengine madogo 
Hayahitaji kugombana
Unajifanya fundi shobo
Kuongea yaso maana

Kugombana na boss wako
Unaingia kuchambana
Eti si bora ungefanya yako
Size yako kina nana

Ooh kweli kuna watu na viatu duniani
Ugomvi wa ndugu wewe wakuhusu nini
Ama shoga yake Paula, asa gugu wa nini
Unajikuta mvimbaji, doctor wa kiume utaveshwa bikini

Acha niongee, hahaha kimeumana
Acha niongee, mtoto mdogo unataka kusafiria nyota eeh
Acha niongee, eeh najua utajibu ila acha niongee kwanza
Acha niongee, bado sana, bado bado

Mwanaume kaumbiwa kifua
Sio kila kitu lazima useme
Na siye yako twayajua
Mambo ya vizinga ndo usiseme ee
Eti unaona umeyabadia maisha
Na taabu hukuiona kuni unfollow kwa Insta

Ooh kweli kuna watu na viatu duniani
Ugomvi wa ndugu wewe wakuhusu nini
Ama shoga yake Paula, asa gugu wa nini
Unajikuta mvimbaji, doctor wa kiume utaveshwa bikini

Acha niongee, hahaha kimeumana
Acha niongee, mtoto mdogo unataka kusafiria nyota eeh
Acha niongee, eeh najua utajibu ila acha niongee kwanza
Acha niongee, bado sana, bado bado

Nakuona unapenda kujikweza, acha shobo
Babu jinga unapenda kujikweza, acha shobo
Hakuna posti linakupita mjomba wee, acha shobo
Vya watu unapenda sana kuvijua, acha shobo

Vimeshuka vimemsimama, eeh vimemsimama
Oh kamshipa kamemsimama, eeh kamemsimama

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Achaniongee (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

HAMIS BSS

Tanzania

Hamis Bss is a singer/guitarist from Tanzania. He was among the participants at Bongo ...

YOU MAY ALSO LIKE