Home Search Countries Albums

Kitu Kizito Lyrics


Kitu kizito, kitu kizito
Kitu kizito, kitu kizito

Show kali haiendi bila stimu
Nivutie mneli tungi upandwe wazimu
Mwili wangu leo ugeuze gym
Nikazie pushup baba twanga kinu
Angusha baba baba kitu kizito
Ya moto moto leta kitu kizito
Kushoto kulia kata kitu kizito
Aiyayaiyaaa kitu kizito
Midadi ishanipanda baba
Angusha unakotaka weka
Isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa

Aaah
Misamba baba nakupigia yoga
Unyevu wa kumwagilia mboga
Sukari ya bi zuchu inangoja
Yangu ina tv fanya unga tu decoder
Nikunje baba jinafasi
Nipige roba amba kati
Ukisikia milio baba ongesa kasi
Niite majirani waulize msiba wapi
Angusha baba baba kitu kizito
Ya moto moto leta kitu kizito
Kushoto kulia kata kitu kizito
Aiyayaiyaaa kitu kizito
Midadi ishanipanda baba
Angusha unakotaka weka
Isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa

Mama mama mama, mama niko vizuri
Kwanza sifiki killeni maana sina nauli
Si unaniju vizuri nikilianzisha shughuli
Ukifa kifo cha mende mi nakuchimbia kaburi
Asa we mamacita punguzaga kunitega
Maana huku chini nina kichwa hakina mabega
Nasikia uteja, mama nasika uteja
Leo nna kitu kizito vipi utaweza kubeba

Nikunje baba jinafasi
Nipige roba amba kati
Ukisikia milio baba ongesa kasi
Niite majirani waulize msiba wapi
Angusha baba baba kitu kizito
Ya moto moto leta kitu kizito
Kushoto kulia kata kitu kizito
Aiyayaiyaaa kitu kizito
Midadi ishanipanda baba
Angusha unakotaka weka
Isweke unapotaka sweka aiyayaiyaaa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Kitu Kizito (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

HAITHAM KIM

Tanzania

Haitham Kim is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE