Niteke Lyrics
(Its Bonga)
Oooh beiby ooh
Mi kwako njiwa
Ilonasa bila mtama wee
Aaah niache ning'ang'anie
Ooh daddy ooh
Ninyooshe ukiniona
Naenda mrama ee
Aaah aaaah
Unonipa ya vuguvugu my beiby
Siongei kama bubu, siwezi
Hakika unanisulubu
Kwa penzi lako ni raha tupu ah
Kwako mnyonge nishatubu, my beiby
Umenifunga kamba kudu, siwezi
Hakika unanimudu
Penzi lako ni raha tupu
Eeh eh eh eh eh
Wataka niongeze nini baba
Maana nishakwama we ndo msaada
Niokoe, niokoe beiby
We kaka nami ndo kadada
Nataka tuwe mama na baba
Niokoe, niokoe beiby
Niteke, niteke
Niteke niteke
Beiby mi ndo wako kangaroo
Na we ndo yangu sabuni ya roho
Niteke, niteke
Niteke niteke
Mi ndo wako kangaroo
Na we ndo yangu sabuni ya roho
Yaani swadakta
Umenifanya vya kufanya kamata
Umeninoga ile mbaya, ile mbaya
Umenivusha mipaka
Umenifinyanga finyanga kama ngata
Umenikoga ile mbaya, ile mbaya
Fundi wa magoli ya ndani ndani
Mjuzi kitandani ndani
Moto wa kuotea mbali yeiye
Mtamu kama asali yeye
Unonipa ya vuguvugu my beiby
Siongei kama bubu, siwezi
Hakika unanisulubu
Kwa penzi lako ni raha tupu ah
Kwako mnyonge nishatubu, my beiby
Umenifunga kamba kudu, siwezi
Hakika unanimudu
Penzi lako ni raha tupu
Eeh eh eh eh eh
Wataka niongeze nini baba
Maana nishakwama we ndo msaada
Niokoe, niokoe beiby
We kaka nami ndo kadada
Nataka tuwe mama na baba
Niokoe, niokoe beiby
Niteke, niteke
Niteke niteke
Beiby mi ndo wako kangaroo
Na we ndo yangu sabuni ya roho
Niteke, niteke
Niteke niteke
Mi ndo wako kangaroo
Na we ndo yangu sabuni ya roho
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Niteke (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE